Gamondi ameondolewa kutokana na sababu muhimu, matokeo ya uwanjani ilikuwa ni nyongeza tu ya kumnyoa!

Aliwafunga makolo Bao 5
 
Hizo mechi ulizozitaja uwezi kuzizungumzia kama reference kwasababu kinajulikana kilichotokea kwenye hizo mechi,,mechi ya Azam iliharibika baada ya kadi nyekundu kwa baka,, mechi na Tabora ukuta wote wa yanga akukuwepo sasa ulitarajia kipi kitokee!
 
KOCHA MBOVU.

LITIMU LENYEWE LIBOVU.

WACHEZAJI WAZEE HAWAFUNDISHIKI.

MASHABIKI WALEVI NA WAVUTA BANGI WANATUKANA MATUSI HOVYO HOVYO MITANDAONI.

AL HILAL MSINIANGUSHIE KITOWEO HICHO KIMEJILETA CHENYEWE.
 
Mfumo huonekana bora ukileta matokeo chanya! UAucho kucheza CB ilibidi tu baada ya injury ya Andambwile.. na ile ni kama backup plan tu au Reinforcement vitani! Sio mbinu mbinu ni ile anayoingia nayo wakiwa 11 tukacheze hivi tukacheze vile sasa zile mbinu watu walishazi mark walivyoenda likizo! Kwa mfano Tabora ndo ingekua Beki zao tegemeo Dickson Job na Bacca hazipo ungeona timu haipandi inageuka mabeki wanashambulia kwa CA ila Kwa Gamond pamoja na Kukosa muhimili wa Formation zake bado akawa anashambulia zaidi kitu ambacho Kinahitaji striker wa maana pia
 
Hizo mechi ulizozitaja uwezi kuzizungumzia kama reference kwasababu kinajulikana kilichotokea kwenye hizo mechi,,mechi ya Azam iliharibika baada ya kadi nyekundu kwa baka,, mechi na Tabora ukuta wote wa yanga akukuwepo sasa ulitarajia kipi kitokee!
Hii ndiyo coment iliyoenda shule,na ya kitaalamu zaidi,wengine wanapiga ramli chonganishi tu.
 
Sasa hao wachezaji wakuwafanyia switching-up wako wapi? Are they multi-talented?

Hivi una amini Dube, Chama, Baleke, Okra yalikuwa ni chaguzi za kocha?

Hata Injinia hutengeneza ghorofa kulingana na material ambayo amepewa.

Huwezi ukawa unataka ujengewe ghorofa yenye hadhi ya Burji Khalifa kwa material ya sandakarawe.
 
Mimi bado naona sio tatizo hata kama sio chaguo la kocha
Pia sio kila project lazima ifaulu mkuu..
Mpira ni kama kamari tu ikikulipa unashukuru Maulana!
Yani bado sioni hoja hoja ni kama zilivyotolewa tuishi nazo humo tusubiri kifuatacho wala hamna lawama yoyote
 
Akili zimeanza kuwarudia kwa vipindi kama homa. Siku chache zilizopita mlikuwa mnamuunga mkono.Leo mnamkataa.Unafiki haujawahi kumuacha mtu bila kumuabisha.
 
Yanga wameanza kuweweseka baada ya vipigo viwili tu. Je, wangepigwa vipigo vitano ingekuwaje?
 
Kama unataka kufanya haki ya kumuwajibisha kocha kwa kufeli kwenye mbinu zake unatakiwa walau uwe umempa mamlaka kwenye sajili.

Sasa nyinyi sajili zote anafanya Hersi na sometimes kama bahati inatokea kwenye kikosi kuna wachezaji ambao wame match na mfumo wa mwalimu.

Mwalimu anajaribu ku maintain kikosi kwa kuwapa kipaumbele hao wachezaji ambao wameonesha ku-fit kwenye mahitaji yake, then siku isiyokuwa na jina inafika Hersi anaamua kumtimua huyo mchezaji ili aingie mchezaji mwingine aliyekuwa rejected kutoka Simba kwa lengo la kuwakera Simba.
 
Hayo mnaona nyinyi mashabiki wa Msimbazi na watu wameshaanza nyuzi za kumponda Hersi
Hersi yupo sana hata ukimpaka matope ndugu zangu na sajili zitaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…