Gamondi ameondolewa kutokana na sababu muhimu, matokeo ya uwanjani ilikuwa ni nyongeza tu ya kumnyoa!

Daah kumbe Gamondi wawatu amefukuzwa bure tu.

Kubadili mfumo kunahitaji uwe na aina ya wachezaji ambao ni multi-talented wanaoweza kucheza eneo zaidi ya moja kiwanjani na wakakupa kitu kile kile.

Kwa pale Yanga wachezaji mlionao ni wachache sana wenye uwezo huo, hata hao wachache mlionao bado nao wana changamoto ya umri hawawezi kukupa kitu kwa accurancy kubwa kwasababu tayari wamechoka.

Kairudie game yenu na Azam utaona Gamondi alijaribu ku switch kumchezesha Maxi kama kiungo mkabaji lakini mchezaji mwenyewe hakuonekana ku fit kwenye eneo hilo.

Mechi yenu na Tabora, timu ilipokuwa inashambulia Aucho alisimama kama kiungo lakini timu ilipokuwa inashambuliwa Aucho alikuwa anacheza kama center back.

Sasa mfumo gani mwingine nyinyi mliokuwa mkipenda kuuona? Au kwenu tafsiri ya mfumo upo supported na matokeo?

Kwamba akibadilisha mfumo halafu mkapoteza pointi, kwenu hiyo hamuihesabii kama ni sehemu ya kubadili mfumo?
Aliwafunga makolo Bao 5
 
Hizo mechi ulizozitaja uwezi kuzizungumzia kama reference kwasababu kinajulikana kilichotokea kwenye hizo mechi,,mechi ya Azam iliharibika baada ya kadi nyekundu kwa baka,, mechi na Tabora ukuta wote wa yanga akukuwepo sasa ulitarajia kipi kitokee!
 
KOCHA MBOVU.

LITIMU LENYEWE LIBOVU.

WACHEZAJI WAZEE HAWAFUNDISHIKI.

MASHABIKI WALEVI NA WAVUTA BANGI WANATUKANA MATUSI HOVYO HOVYO MITANDAONI.

AL HILAL MSINIANGUSHIE KITOWEO HICHO KIMEJILETA CHENYEWE.
 
Daah kumbe Gamondi wawatu amefukuzwa bure tu.

Kubadili mfumo kunahitaji uwe na aina ya wachezaji ambao ni multi-talented wanaoweza kucheza eneo zaidi ya moja kiwanjani na wakakupa kitu kile kile.

Kwa pale Yanga wachezaji mlionao ni wachache sana wenye uwezo huo, hata hao wachache mlionao bado nao wana changamoto ya umri hawawezi kukupa kitu kwa accurancy kubwa kwasababu tayari wamechoka.

Kairudie game yenu na Azam utaona Gamondi alijaribu ku switch kumchezesha Maxi kama kiungo mkabaji lakini mchezaji mwenyewe hakuonekana ku fit kwenye eneo hilo.

Mechi yenu na Tabora, timu ilipokuwa inashambulia Aucho alisimama kama kiungo lakini timu ilipokuwa inashambuliwa Aucho alikuwa anacheza kama center back.

Sasa mfumo gani mwingine nyinyi mliokuwa mkipenda kuuona? Au kwenu tafsiri ya mfumo upo supported na matokeo?

Kwamba akibadilisha mfumo halafu mkapoteza pointi, kwenu hiyo hamuihesabii kama ni sehemu ya kubadili mfumo?
Mfumo huonekana bora ukileta matokeo chanya! UAucho kucheza CB ilibidi tu baada ya injury ya Andambwile.. na ile ni kama backup plan tu au Reinforcement vitani! Sio mbinu mbinu ni ile anayoingia nayo wakiwa 11 tukacheze hivi tukacheze vile sasa zile mbinu watu walishazi mark walivyoenda likizo! Kwa mfano Tabora ndo ingekua Beki zao tegemeo Dickson Job na Bacca hazipo ungeona timu haipandi inageuka mabeki wanashambulia kwa CA ila Kwa Gamond pamoja na Kukosa muhimili wa Formation zake bado akawa anashambulia zaidi kitu ambacho Kinahitaji striker wa maana pia
 
Hizo mechi ulizozitaja uwezi kuzizungumzia kama reference kwasababu kinajulikana kilichotokea kwenye hizo mechi,,mechi ya Azam iliharibika baada ya kadi nyekundu kwa baka,, mechi na Tabora ukuta wote wa yanga akukuwepo sasa ulitarajia kipi kitokee!
Hii ndiyo coment iliyoenda shule,na ya kitaalamu zaidi,wengine wanapiga ramli chonganishi tu.
 
Mfumo huonekana bora ukileta matokeo chanya! UAucho kucheza CB ilibidi tu baada ya injury ya Andambwile.. na ile ni kama backup plan tu au Reinforcement vitani! Sio mbinu mbinu ni ile anayoingia nayo wakiwa 11 tukacheze hivi tukacheze vile sasa zile mbinu watu walishazi mark walivyoenda likizo! Kwa mfano Tabora ndo ingekua Beki zao tegemeo Dickson Job na Bacca hazipo ungeona timu haipandi inageuka mabeki wanashambulia kwa CA ila Kwa Gamond pamoja na Kukosa muhimili wa Formation zake bado akawa anashambulia zaidi kitu ambacho Kinahitaji striker wa maana pia
Sasa hao wachezaji wakuwafanyia switching-up wako wapi? Are they multi-talented?

Hivi una amini Dube, Chama, Baleke, Okra yalikuwa ni chaguzi za kocha?

Hata Injinia hutengeneza ghorofa kulingana na material ambayo amepewa.

Huwezi ukawa unataka ujengewe ghorofa yenye hadhi ya Burji Khalifa kwa material ya sandakarawe.
 
Mimi bado naona sio tatizo hata kama sio chaguo la kocha
Pia sio kila project lazima ifaulu mkuu..
Mpira ni kama kamari tu ikikulipa unashukuru Maulana!
Yani bado sioni hoja hoja ni kama zilivyotolewa tuishi nazo humo tusubiri kifuatacho wala hamna lawama yoyote
 
Akili zimeanza kuwarudia kwa vipindi kama homa. Siku chache zilizopita mlikuwa mnamuunga mkono.Leo mnamkataa.Unafiki haujawahi kumuacha mtu bila kumuabisha.
 
Kuna wengi wasiojua kiini kikuu kilichofanya gamond aondolewe na kufungashiwa virago, wengi wao wanadhani sababu kuu ni kufungwa na Azam na Tabora united, icho kitu akikuwa kipaumbele kwenye tathmini ya viongozi kwakuwa Mpira unayo matokeo matatu,,lakini kwa mujibu wa source ya ndani kabisa yafuatayo yamemuondoa gamond;

1) Ubaguzi wa

wachezaji,,Gamond alikuwa ana tabia ya kuwabagua wachezaji wale ambao alikuwa anaona awataki kwenye timu, jambo ambalo lilitengeneza mpasuko kwa wachezaji wenyewe, mfano mdogo ni kutopangwa kwa kibwana shomari wakati Yuko fit na badala yake akawa anatumia Denis nkane ambae ni winga, jambo ilo lilileta taharuki ata aliposhauriwa akutaka kumsikiliza mtu yoyote!

2) Alikuwa ashauriki,,kwenye eneo hili alikuwa aambiliki bali alikuwa na msimamo wake usioyumbishwa, daktari wa timu aliwai kumshauri juu ya kiwango cha Aziz ki wakamuomba ampumzishe kwakuwa anaonekana kashuka sana kiwango inawezekana labda ni uchovu unamuandama baada ya kutumika sana kwa misimu miwili Kila mechi lakini gamond aliziba pamba masikioni akawa anamng'ang'ania wakati anao wachezaji wengine wanaweza kucheza iyo nafasi vizuri tu kama duke abuya!

3) Mifumo yake kutobadilika,,katika hili lilikuwa linaonekana dhahiri shahiri kwamba makocha wengi walishamsoma aina ya mifumo anayotumia na alikuwa awezi kubadilika kulingana na mazingira, ndio maana timu nyingi zilikuwa zikipaki bus biashara inakuwa ngumu kwa Gamond kupata matokeo kitu kilichopelekea timu kupata ushindi wa kusuasua kwa mda mrefu!

4) Matokeo ya Azam na Tabora united,,,yale matokeo yalikuwa ni kama kuongeza petroli kwenye moto unaowaka, yaliongeza kasi ya kuondolewa kwa gamond na katu asingetoboa kwa maana tiyali viongozi walishamuweka kwenye tathmini ya kina juu ya mwenendo wake kiujumla!

5) Kupoteza uwezo wa kusimamia nidhamu ndani ya timu,,jambo hili lilikuwa linaonekana ata kwake yeye Gamond alikuwa anagombana ovyo mara na waamuzi mara na viongozi wa timu pinzani kitu ambacho kilienda mpaka kwa wachezaji ambao walikuwa wameanza kutoheshimu nidhamu kwenye benchi la ufundi na mpaka jana kspigwa faini ya milioni 2 na kukosa michezo 3 kwa kosa la kumpiga ngumi msaidizi wa singida black star!

Kiufupi mambo hayo yamemuondoa gamond na tunamtakia Kila la kheri uko aendako!
Yanga wameanza kuweweseka baada ya vipigo viwili tu. Je, wangepigwa vipigo vitano ingekuwaje?
 
Mimi bado naona sio tatizo hata kama sio chaguo la kocha
Pia sio kila project lazima ifaulu mkuu..
Mpira ni kama kamari tu ikikulipa unashukuru Maulana!
Yani bado sioni hoja hoja ni kama zilivyotolewa tuishi nazo humo tusubiri kifuatacho wala hamna lawama yoyote
Kama unataka kufanya haki ya kumuwajibisha kocha kwa kufeli kwenye mbinu zake unatakiwa walau uwe umempa mamlaka kwenye sajili.

Sasa nyinyi sajili zote anafanya Hersi na sometimes kama bahati inatokea kwenye kikosi kuna wachezaji ambao wame match na mfumo wa mwalimu.

Mwalimu anajaribu ku maintain kikosi kwa kuwapa kipaumbele hao wachezaji ambao wameonesha ku-fit kwenye mahitaji yake, then siku isiyokuwa na jina inafika Hersi anaamua kumtimua huyo mchezaji ili aingie mchezaji mwingine aliyekuwa rejected kutoka Simba kwa lengo la kuwakera Simba.
 
Hayo mnaona nyinyi mashabiki wa Msimbazi na watu wameshaanza nyuzi za kumponda Hersi
Hersi yupo sana hata ukimpaka matope ndugu zangu na sajili zitaendelea
 
Back
Top Bottom