Gamondi ameondolewa kutokana na sababu muhimu, matokeo ya uwanjani ilikuwa ni nyongeza tu ya kumnyoa!

Mwenendo wa timu unasababishwa na vitu vingi ikiwemo wachezaji.

Wachezaji wamezidisha starehe sana kwasababu ya kujuana na boss wenu anakuwa hamuogopi kocha.
Tukiangalia kwa undani, Gamondi ndiyo factor moja wapo katika hili.
Kwanza aliwajaza wachezaji vichwa kuwa ni wachezaji bora kuliko wachezaji wote.
Pili aliamini yeye ndiye kocha bora na anayejua kuliko wote na hata ukimsikiliza kwenye press zake unaona kabisa anaona Yanga kama vile ni Barcelona. Hiyo yote hufanya wachezaji kuridhika na kukosa nidhamu.
 
Hili sioni uhalisia wake

Ni mara kadhaa tumemsikia Gamondi akipingana na zile ishu za kuipa mechi jina la mchezaji kwa fact kuwa inawapa ukubwa ambao unaweza kuleta ulegevu.

Alisema pia hao wachezaji wengine ambao hawajapewa hizo mechi majina yao hawata feel vizuri kwasababu watajiona wao ni inferior dhidi ya hao wengine
 
Kipigo cha tabora ndiyo sababu pekee
Kipigo icho kinaweza kuwa sababu kwa mbumbumbu lakini kwa waliofanya tathmini ya uhakika kaondolewa kwa sababu izo nilizozitaja
 
Yaani miaka yote mnamuimba leo mnaleta malalamiko kama ameanza kazi jana.
 
Sababu nyingine ni kuwatongoza wachezaji wa yanga, wale wanaokataa huwatupa benchi wanaompa hata kama wanaumwa huwapa nafasi, mfano chama, kibwana nk.
 
Zezeta naona unajifariji
 
Sababu nyingine na ya msingi ni yeye Gamond kukataa viongozi wasinunue mechi na madawa/sindano za kusisimua misuli kwa wachezaji hasa pale timu inaposhambuliwa kwa sababu kocha alikataa hayo yote kwa sababu yanadhoofisha vipaji vya wachezaji
 
Sababu nyingine na ya msingi ni yeye Gamond kukataa viongozi wasinunue mechi na madawa/sindano za kusisimua misuli kwa wachezaji hasa pale timu inaposhambuliwa kwa sababu kocha alikataa hayo yote kwa sababu yanadhoofisha vipaji vya wachezaji
Rage akukosea alikuwa sahihi kuelezea mashabiki na wanachama wa timu yake walivyo weupe vichwani
 
Kocha mpya wa Yanga katoka TX Galaxy ya South Africa. TIMU ya 16 na ndio inayoburuza mkia kwenye ligi ya South Africa.
 
Kama mtaani kwako hakuna anaeshikilia nafasi ya uchizi basi nakuomba ichukue hiyo nafasi
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
Zezeta naona unajifariji
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
Halafu hili ni tatizo, kuna mahala haupo sawa
 
Halafu hili ni tatizo, kuna mahala haupo sawa
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
 
Asali mbichi ya nyuki wadogo kutoka tabora tamu hiyoooooo balaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…