Gamondi ameondolewa kutokana na sababu muhimu, matokeo ya uwanjani ilikuwa ni nyongeza tu ya kumnyoa!

Akili zimeanza kuwarudia kwa vipindi kama homa. Siku chache zilizopita mlikuwa mnamuunga mkono.Leo mnamkataa.Unafiki haujawahi kumuacha mtu bila kumuabisha.
Akili gani ww
Mimi sichambui unafiki fatilia tangu watu wameanza kuisema Yanga inashinda kwa tabu zile mechi 3 za mwanzoni nilishaitoa hoja hii mimi sio shabiki Oya oya na hilo bado sio tatizo timu lazima ipitie mabadiliko mkuu timu yoyote ile
 
Hayo mnaona nyinyi mashabiki wa Msimbazi na watu wameshaanza nyuzi za kumponda Hersi
Hersi yupo sana hata ukimpaka matope ndugu zangu na sajili zitaendelea
Angalia vizuri na fuatilia kwa umakini comments kwenye uzi wa taarifa ya kufukuzwa kocha wenu.

Utabaini kuwa wanaomtukana Hersi asilimia kubwa ni mashabiki wenzako wa Yanga.

Hata ambao hawajathubutu kumtukana bado hawajafurahishwa na aina hii ya maamuzi ambayo yeye kama Raisi wa Club ndio ame play part kubwa kuhusika.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui

Wamechukulia kimhemko
Kwenye mpira skuizi mashabiki ni oya oya sana! Hawataki mabadiliko kabisa!
 
Maamuzi yaliyotolewa na uongozi wenu ndio yamefanyika kimhemko
Kimhemko kivipi?
Watu wanafanya tathimini juu ya mwenendo wa timu, tabia ya kocha na mambo mengine mengi. Hakuna shabiki wa Simba anayependa mambo yawe mazuri kwa jirani yake. Ukiona kitu kinawapa mapovu sana ujue hamjakipenda na mmeona kina madhara upande wenu. Mlitamani abakie Gamondi ili kusuasua kwa timu kuendelea
 
Mwenendo wa timu unasababishwa na vitu vingi ikiwemo wachezaji.

Wachezaji wamezidisha starehe sana kwasababu ya kujuana na boss wenu anakuwa hamuogopi kocha.
 
Kuna wengi wasiojua kiini kikuu kilichofanya gamond aondolewe na kufungashiwa virago, wengi wao wanadhani sababu kuu ni kufungwa na Azam na Tabora united, icho kitu akikuwa kipaumbele kwenye tathmini ya viongozi kwakuwa Mpira unayo matokeo matatu,,lakini kwa mujibu wa source ya ndani kabisa yafuatayo yamemuondoa gamond;

1) Ubaguzi wa

wachezaji,,Gamond alikuwa ana tabia ya kuwabagua wachezaji wale ambao alikuwa anaona awataki kwenye timu, jambo ambalo lilitengeneza mpasuko kwa wachezaji wenyewe, mfano mdogo ni kutopangwa kwa kibwana shomari wakati Yuko fit na badala yake akawa anatumia Denis nkane ambae ni winga, jambo ilo lilileta taharuki ata aliposhauriwa akutaka kumsikiliza mtu yoyote!

2) Alikuwa ashauriki,,kwenye eneo hili alikuwa aambiliki bali alikuwa na msimamo wake usioyumbishwa, daktari wa timu aliwai kumshauri juu ya kiwango cha Aziz ki wakamuomba ampumzishe kwakuwa anaonekana kashuka sana kiwango inawezekana labda ni uchovu unamuandama baada ya kutumika sana kwa misimu miwili Kila mechi lakini gamond aliziba pamba masikioni akawa anamng'ang'ania wakati anao wachezaji wengine wanaweza kucheza iyo nafasi vizuri tu kama duke abuya!

3) Mifumo yake kutobadilika,,katika hili lilikuwa linaonekana dhahiri shahiri kwamba makocha wengi walishamsoma aina ya mifumo anayotumia na alikuwa awezi kubadilika kulingana na mazingira, ndio maana timu nyingi zilikuwa zikipaki bus biashara inakuwa ngumu kwa Gamond kupata matokeo kitu kilichopelekea timu kupata ushindi wa kusuasua kwa mda mrefu!

4) Matokeo ya Azam na Tabora united,,,yale matokeo yalikuwa ni kama kuongeza petroli kwenye moto unaowaka, yaliongeza kasi ya kuondolewa kwa gamond na katu asingetoboa kwa maana tiyali viongozi walishamuweka kwenye tathmini ya kina juu ya mwenendo wake kiujumla!

5) Kupoteza uwezo wa kusimamia nidhamu ndani ya timu,,jambo hili lilikuwa linaonekana ata kwake yeye Gamond alikuwa anagombana ovyo mara na waamuzi mara na viongozi wa timu pinzani kitu ambacho kilienda mpaka kwa wachezaji ambao walikuwa wameanza kutoheshimu nidhamu kwenye benchi la ufundi na mpaka jana kspigwa faini ya milioni 2 na kukosa michezo 3 kwa kosa la kumpiga ngumi msaidizi wa singida black star!

Kiufupi mambo hayo yamemuondoa gamond na tunamtakia Kila la kheri uko aendako!
Vipi kuhusu zile sindano?
 
Sasa akiondoka iyo faini italipwaje?
 
Asante muitimu wa madrasa, uchambuzi umeujua sasa jifunze kuandika ukitumia "h".
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mwenendo wa timu unasababishwa na vitu vingi ikiwemo wachezaji.

Wachezaji wamezidisha starehe sana kwasababu ya kujuana na boss wenu anakuwa hamuogopi kocha.
Nyie bwana akuna kitu mnaweza kuishauri yanga zaidi ya unafiki tu, Ni sahihi kabisa kuondoshwa kwa kocha alikuwa na makandokando mengi ndio yamemuondoa ivyo basi gurudumu linasonga mbele!
 
Yani mpaka wasemeèee..bado hawajasema
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
Screenshot_2023-11-23-13-56-10-25_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC. View attachment 3153061
Kama mtaani kwako hakuna anaeshikilia nafasi ya uchizi basi nakuomba ichukue hiyo nafasi
 
Kuna wengi wasiojua kiini kikuu kilichofanya gamond aondolewe na kufungashiwa virago, wengi wao wanadhani sababu kuu ni kufungwa na Azam na Tabora united, icho kitu akikuwa kipaumbele kwenye tathmini ya viongozi kwakuwa Mpira unayo matokeo matatu,,lakini kwa mujibu wa source ya ndani kabisa yafuatayo yamemuondoa gamond;

1) Ubaguzi wa

wachezaji,,Gamond alikuwa ana tabia ya kuwabagua wachezaji wale ambao alikuwa anaona awataki kwenye timu, jambo ambalo lilitengeneza mpasuko kwa wachezaji wenyewe, mfano mdogo ni kutopangwa kwa kibwana shomari wakati Yuko fit na badala yake akawa anatumia Denis nkane ambae ni winga, jambo ilo lilileta taharuki ata aliposhauriwa akutaka kumsikiliza mtu yoyote!

2) Alikuwa ashauriki,,kwenye eneo hili alikuwa aambiliki bali alikuwa na msimamo wake usioyumbishwa, daktari wa timu aliwai kumshauri juu ya kiwango cha Aziz ki wakamuomba ampumzishe kwakuwa anaonekana kashuka sana kiwango inawezekana labda ni uchovu unamuandama baada ya kutumika sana kwa misimu miwili Kila mechi lakini gamond aliziba pamba masikioni akawa anamng'ang'ania wakati anao wachezaji wengine wanaweza kucheza iyo nafasi vizuri tu kama duke abuya!

3) Mifumo yake kutobadilika,,katika hili lilikuwa linaonekana dhahiri shahiri kwamba makocha wengi walishamsoma aina ya mifumo anayotumia na alikuwa awezi kubadilika kulingana na mazingira, ndio maana timu nyingi zilikuwa zikipaki bus biashara inakuwa ngumu kwa Gamond kupata matokeo kitu kilichopelekea timu kupata ushindi wa kusuasua kwa mda mrefu!

4) Matokeo ya Azam na Tabora united,,,yale matokeo yalikuwa ni kama kuongeza petroli kwenye moto unaowaka, yaliongeza kasi ya kuondolewa kwa gamond na katu asingetoboa kwa maana tiyali viongozi walishamuweka kwenye tathmini ya kina juu ya mwenendo wake kiujumla!

5) Kupoteza uwezo wa kusimamia nidhamu ndani ya timu,,jambo hili lilikuwa linaonekana ata kwake yeye Gamond alikuwa anagombana ovyo mara na waamuzi mara na viongozi wa timu pinzani kitu ambacho kilienda mpaka kwa wachezaji ambao walikuwa wameanza kutoheshimu nidhamu kwenye benchi la ufundi na mpaka jana kspigwa faini ya milioni 2 na kukosa michezo 3 kwa kosa la kumpiga ngumi msaidizi wa singida black star!

Kiufupi mambo hayo yamemuondoa gamond na tunamtakia Kila la kheri uko aendako!
Kipigo cha tabora ndiyo sababu pekee
 
Ungeongezea wazechaji wote anaowatumia ni esabu za Nabi yy kaka miaka2 atujaona tuleo lake Nabi tumeona Mzize Baka Job Kibabaje sasa gamond sijaona kamtengeneza nani yupo yupo tu tungi sana asepe tu.
 
Back
Top Bottom