Gamondi awaita nyota wa kikosi Cha kwanza Zanzibar

Kikowapi!
 
Gamondi Hana msimamo kabisa wale vijana walicheza vizuri sana. Waachwe wacheze na APR vijana wapewe nafasi.
 
Waliwalala wewe na nani? Kama wewe ni kijana wa kiume, basi unatakiwa ujitafakari sana. Maana sisi baba zako enzi tukiwa watoto kama nyinyi, mifano ya kike kama hii ilikuwa haipo.
[emoji1][emoji1]mkuu naona umeshindwa kuvumilia
 
Huyu Pacome si mlidai yuko timu ya taifa au nilisikia vibaya? Anyway aende akajiunge na timu ya Taifa Jang'ombe iko hapo hapo zanzibar...
alikataa kwenda national team
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…