Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Jamaa alikuwa na chuki mbaya sana kwa Gamondi ila Gamondi kamziba mdomo kwa vitendo.
 
na uhakika unakaribia kujinyea
 
Hizi ndio nyuzi za kufufua sasa jamaa anafikiri kujadili hoja na uonekane umetumia akili ni kuchanganya lugha zuzu kabisa..
Kila nyuzi alioanzisha humu utajua tu uwezo wake wa kufikiria ni finyu mno..
 
Hoyo ni Cheap strategy, baada ya kuona Balaa ya ubora wake. Unajua toka enzi na Enzi ukiwa mahiri ama ukisettle kwenye lolote ni kosa ilitumika njia ya chokochoko na nina hakika aliyeandika hapa ni mpinzani mwa hao yanga mwenye motive ya kuwatelezesha watu wafanye makosa.

Tafuta Strategy nzuri zaidi na ukae uumize akili zaidi kama unadhani njia ya kuwashinda sio kuboresha mambo yenu bali ni kuchafua wapinzani.
 
Note : Yanga mwaka huu bila bila amna kikombe mtachukua..
mamelodi atawapiga 5, mtatoka kwa aibu.
Simba atawapiga tena.
gamondi ataua depth ya kikosi
next season its over for your dominance.
lastly don't watch the sundowns match utakuwa frustrated. atafanya sub ya guede kituko tena ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ.
pacome off - guede In ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kisa rushwa yake icheze tu..
Hata kama ni mkosi duh! Mtu unashindwa kubahatisha japo kitu kimoja. Is this normal? ๐Ÿ˜ณ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ