The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
5 zipo Loftus
Wakati unaandika awali ulisema 5 zipo kwenye mechi ipi?
Uliiongelea sare ya Kwa Mkapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5 zipo Loftus
Itawasaidia Simbahonestly hiyo draw aisaidii kitu kwa Yanga
Usitoe watu kama chambo, jitoe wewe mwenyewe kama unajiamini.Yanga aki qualify. Nakupa pesa na mchepuko wangu mmoja . Tafuta Shaidi tu
Rudia Tena Kwa sautiLeo ndo Siku ya 5 . Come out side
umemuona gamondi?uwe mvumilivu bro,mpira ndio ulivyo
Ndo wakome waache mambo yao ya kishetani,,,,na huu ni mwanzo tuYanga wamedhulumiwa goli.
Mbona hawajashinda izo Tano Hawa ni wakawaida tu msiwape sifa sana5 zipo Loftus
Achana nae huyo jamaa hajui mpira hataJamaa alikuwa na chuki mbaya sana kwa Gamondi ila Gamondi kamziba mdomo kwa vitendo.
na uhakika unakaribia kujinyeaGAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS
Sababu ni hizi
1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no tactics kabisa, nothing new. off position play kwa players is what he knows. useless manager to be precise.
2. Since Guede arrival, Gamondi kawa kama kichaa ajui kuwa he signed ana error anajaribu kutuprovia kuwa ni mchezaji mzuri. but big NO. subs zimekuwa worse , he is not the one. Ana mforce sana kwa MASHABIKI. we done with this. engineer asipo INTERFER. yanga itapotea. sundowns game is a lost course
3. Yupo inconstency sana. kama una bet don't give Yanga your money. huyu jamaa will lose a game or draw in wonders ways. yani ana depth of players lakin anamuona Guede tu. The moment guede yupo ndani. it's OVER. the player plays against the team kama yanga wapo 10 uwanjani.
4. Yanga achukui LIGI :: kwa staili yake hii amna kitu hapa, hana mipango kabisa . he will lose the Simba match. and 1 more match and lose to a 2 point lead. people use low block and he is done.
5. Yanga waingie sokoni kwa kocha mpya. huyu amna sehemu atawafikisha kama club. nope he is not the one. awezi fikisha club to the top. naona ndo maana he is always get fired in his 1st season.
6.AM DONE , mimi leo nimekuwa najiuliza sana. pacome sub ya guede. at that moment. shekhan . okra. musoda wapo nje.
nikaajua amna kitu humu.
max sub ya musonda [emoji848]. he has the depth. he cant use it. watch guede play against sundowns. tena more minutes than he deserves.
7. Leo nimeona mwanga. I can't respect him ever. iko hivyo nimevua vyeo vyote huyu gamondi wa mchongo. I think jamaa ajui anachofanya at times. sio emotionaly I have seen him do alot of sub mistakes leo. nimejua kuwa kweli akili hana. and he is not the one.
8. Anatembelea upepo wa Nabi. he was so tactical unajua kabisa anataka nini. Ana mipingo.
huyu gamondi amna kitu, akili imestack , useless after 1 season. fire him . amna progress hapa.
Note : Yanga mwaka huu bila bila amna kikombe mtachukua..
mamelodi atawapiga 5, mtatoka kwa aibu.
Simba atawapiga tena.
gamondi ataua depth ya kikosi
next season its over for your dominance. lastly don't watch the sundowns match utakuwa frustrated. atafanya sub ya guede kituko tena [emoji706][emoji706].
pacome off - guede In [emoji23][emoji23] kisa rushwa yake icheze tu..
Note : Yanga mwaka huu bila bila amna kikombe mtachukua..
mamelodi atawapiga 5, mtatoka kwa aibu.
Simba atawapiga tena.
gamondi ataua depth ya kikosi
next season its over for your dominance.
Hata kama ni mkosi duh! Mtu unashindwa kubahatisha japo kitu kimoja. Is this normal? 😳lastly don't watch the sundowns match utakuwa frustrated. atafanya sub ya guede kituko tena 🚮🚮.
pacome off - guede In 😂😂 kisa rushwa yake icheze tu..
Sio mkosi mkuu jamaa uwezo wa kufikiri ni mdogo mno sasa anajificha kwenye kuchanganya lugha ili watu wampe attention zao..Hata kama ni mkosi duh! Mtu unashindwa kubahatisha japo kitu kimoja. Is this normal? 😳