Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

"amna, achukui, aaminiki..."
Haya maneno hayapo kwenye Kiswahili.
 
Kufungwa kidogo tu povu kama lotee!
Gamondi unayemkosea heshima hapa ndo huyo aliyefanya Belouzdadi wakala 4 bila, Simba akala 5 na ndo huyo ametufanya tuongoze ligi mpk sasa hivi.

Timu yako isifungwe wewe umekua nani???
Inafungwa Man city sembuse Yanga?
Kama huwezi kushabikia Yanga nenda ihefu,.
 
Hizi Kenge zinazoishi Mjini Kwa kutegemea Kubet wasikupotezee muda.

Kwakuwa wanapenda maisha ya mseleleko safari hii watabanduliwa.
 
Hizi Kenge zinazoishi Mjini Kwa kutegemea Kubet wasikupotezee muda.

Kwakuwa wanapenda maisha ya mseleleko safari hii watabanduliwa.
I work bro betting is not my thing. na kazi yangu ni very respectful. hizi sio betting mind
 
hapana. hata hiyo match alifanya sub ya kijinga. sana. he only got results . ila guede as his choice alone makes him stupid.
jana kaonyesha his true color kuwa jamaa ajui kitu m kichwani box. he is not tactical kabisa and can't move the club beyond this point
 
sio kweli. gamondi jana ameshow kabisa kuwa he is not a good tactical couch. last he is not smart at all. he doesn't know his players either. so I think he should leave. yanga should be looking for plan B
 
Sasa kufungwa kwa yanga mnailaumu CHADEMA , kwa nini? Anyway pongezi ziende kizimkazi
 
Football ainโ€™t no your thingโ€ฆendelea kujitafuta.
 
Kwanza tuambie hizo mechi kubwa ni zipi kwenye NBC ambazo Yanga itapoteza maana hii ni raundi ya pili na katika raundi ya kwanza Yanga alifungwa dhidi ya Ihefu pekee na kocha alikuwa huyo Gamond sasa jeuri ipi inakufanya uone Yanga itafungwa mechi yote wakati ukipima katika asilimia Yanga anakuwa na asilimia nyingi za kushinda mechi?

Yanga imepoteza mechi mbili tu tokea ligi ianze halafu unasema Gamondi hana consistency. Hivi unajielewa kweli wewe ?
 
Huyu ni kijana mdogo anajifunza kingereza sheikh.. Wakati mwingine unabishana na mtoto wako wa kuzaa humu Kako chumbani kanatema pumba. Wewe umeona Kuna hoja hapo? Ni broken za kiswahili na kingereza.
 
Neno ni hamna siyo amna
 
Ila yanga ikimchapa mtu 5 anasifiwa? Nyie madogo wa miaka ya 2000s hamjui kabisa mpira. Waachieni watu wazima haya mambo
 
Statistically Gamondi ameperform vyema sana. Anaongoza Ligi kwa difference ya point 5 with game moja mkononi, ameipeleka team quarter final ya CAFCL.

1. Wewe kwa akili zako unategemea Yanga tumtoe Mamelody? Unajidanganya.

2. Azam au Simba ni Team kubwa with the same level na Yanga, So unapoingia nazo uwanjani tegemea matokeo yoyote.

NOTE. Tatizo kubwa la Yanga tunakosa match fitness pale tunapocheza match mfululizo katika interval ya saa 72, tunachemka.

Rejea match Zile na Prison, Tbr utd, dodoma jiji, Yanga tulikua tunastruggle sana, ila sababu tulicheza Na team ambazo sisi ni level za juu yao, tuliwadumu na kushinda. Jana Azam walikuwa fitter kuliko sisi.
 
Hawa ndio watu wanaojua mpira sasa!hongera sana mkuu
 
sio kweli. gamondi jana ameshow kabisa kuwa he is not a good tactical couch. last he is not smart at all. he doesn't know his players either. so I think he should leave. yanga should be looking for plan B
Hivi wewe unadhani kocha atakayekuja atashinda mechi zote? Au ni kocha gani wa Yanga hakuwahi kufungwa? Yaani timu inaongoza ligi, ina magoli ya kutosha na imefungwa mechi mbili, bado kocha anaonekana mbovu. Tuache mbwembwe bwana.
 
Umesema vizuri, yaani watu wanategemea washinde tu. Wachezaji nao ni watu na kocha nae kuna siku anazidiwa mbinu. Gamondi ni Super coach, kwangu akichukua ligi yatosha kwa msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ