Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Statistically Gamondi ameperform vyema sana. Anaongoza Ligi kwa difference ya point 5 with game moja mkononi, ameipeleka team quarter final ya CAFCL.

1. Wewe kwa akili zako unategemea Yanga tumtoe Mamelody? Unajidanganya.

2. Azam au Simba ni Team kubwa with the same level na Yanga, So unapoingia nazo uwanjani tegemea matokeo yoyote.

NOTE. Tatizo kubwa la Yanga tunakosa match fitness pale tunapocheza match mfululizo katika interval ya saa 72, tunachemka.

Rejea match Zile na Prison, Tbr utd, dodoma jiji, Yanga tulikua tunastruggle sana, ila sababu tulicheza Na team ambazo sisi ni level za juu yao, tuliwadumu na kushinda. Jana Azam walikuwa fitter kuliko sisi.
Nyie mlikua mnawaita azam mi team ya level za chini 🤣🤣
 
Hilo ndilo tatizo Lao wakati hawajui nyuma ya pazia ushindi mwingi ni janjajanja. Kama sio refa basi kununua mechi. Hata timu ya Mmbape huwa inafungwa itakuwa Yanga?.
Yanga imefikia level kubwa sana ya utajiri, imeweza kuwanunua Simba na Belouizdad ambao ni mabingwa wa Algeria
 
GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS

Sababu ni hizi

1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no tactics kabisa, nothing new. off position play kwa players is what he knows. useless manager to be precise.

2. Since Guede arrival, Gamondi kawa kama kichaa ajui kuwa he signed ana error ajaribu kutuprovia kuwa ni mchezaji mzuri. but no. sub s zimekuwa worse , he is not the one. Ana mforce sana kwa mashabiki. and we done with this. engineer asipo interfer with this. yanga itapotea. sundowns game is a lost course

3. Yupo inconstency sana. kama una bet don't give Yanga your money. huyu jamaa will lose a game or draw in wonders ways. yani ana depth of players lakin anamuona Guede tu. The moment guede yupo ndani. it's over amna. the player plays against the team kama yanga wapo 10 uwanjani.

4. Yanga achukui ligi kwa staili yake hii amna kitu hapa, hana mipango kabisa . he will lose the Simba match. and 1 more match and lose to a 2 point lead. I can see it. people use low block and he is done.

5. yanga waingie sokoni kwa kocha mpya. huyu amna sehemu atawafikisha kama club. nope he is not the one. awezi fikisha club to the top. naona ndo maana he always get fired.

6.AM DONE , mimi leo nimekuwa najiuliza sana. pacome sub ya guede. at that moment. shekhan . okra. musoda wapo nje. at that moment kikajua amna kitu humu. max sub ya musonda 🤔. he has the depth. he cant use it. watch guede play against sundowns. tena more minutes than he deserves.

7. leo nimeona mwanga. I can't respect him ever. iko hivyo nimevua vyeo vyote huyu gamondi wa mchongo. I think jamaa ajui anachofanya at times. sio emotionaly I have seen him do alot of sub mistakes leo. nimejua kuwa kweli akili hana. and he is not the one.

8. anatembelea upepo wa Nabi. he was so tactical unajua kabisa anataka nini. Ana mipingo.
huyu gamondi amna kitu, akilini imestack , useless after 1 season. fire him . amna progress hapa.

note : yanga mwaka huu bila bila amna kikombe mtachukua..
mamelodi atawapiga 5, mtatoka kwa aibu.
Simba atawapiga tena.
gamondi ataua depth ya kikosi
next season its over for your dominance. lastly don't watch the sundowns match utakuwa frustrated. atafanya sub ya guede kituko tena 🚮🚮.
pacome off - guede In 😂😂 kisa rushwa yake icheze tu.
Ww sio shabiki wa yanga ss gamondi anakuhusu nn ss wnyewe hatuna shida naye kolo hawana akili siku zote
 
Hivi mnaongelea timu ambayo ni bingwa mtetezi, anaongoza ligi kwa point 4, na yupo robo fainali ligi ya mabingwa?

Yanga haitaweza kuendelea kufunga wapinzani wake kila mechi kama mnavyotaka sababu Timu zinajifunza mtindo wake wa uchezaji ili kukabiliana nae. Kupoteza baadhi ya mechi ni sawa.
 
Ww sio shabiki wa yanga ss gamondi anakuhusu nn ss wnyewe hatuna shida naye kolo hawana akili siku zote
I had hopes team itaenda mbali. amna mtu ana bad decisions making kama huyu jamaa amna mtu humu
 
Hivi wewe unadhani kocha atakayekuja atashinda mechi zote? Au ni kocha gani wa Yanga hakuwahi kufungwa? Yaani timu inaongoza ligi, ina magoli ya kutosha na imefungwa mechi mbili, bado kocha anaonekana mbovu. Tuache mbwembwe bwana.
Kwa players gamondi anao sio kwa substitute zile. I was worried about his substitution and plans. but jana it was clear he is not the manager yanga needs. still it's nabi yanga not gamondi yanga. his yanga ni guede.
 
GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS

Sababu ni hizi

1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no tactics kabisa, nothing new. off position play kwa players is what he knows. useless manager to be precise.

2. Since Guede arrival, Gamondi kawa kama kichaa ajui kuwa he signed ana error ajaribu kutuprovia kuwa ni mchezaji mzuri. but no. sub s zimekuwa worse , he is not the one. Ana mforce sana kwa mashabiki. and we done with this. engineer asipo interfer with this. yanga itapotea. sundowns game is a lost course

3. Yupo inconstency sana. kama una bet don't give Yanga your money. huyu jamaa will lose a game or draw in wonders ways. yani ana depth of players lakin anamuona Guede tu. The moment guede yupo ndani. it's over amna. the player plays against the team kama yanga wapo 10 uwanjani.

4. Yanga achukui ligi kwa staili yake hii amna kitu hapa, hana mipango kabisa . he will lose the Simba match. and 1 more match and lose to a 2 point lead. I can see it. people use low block and he is done.

5. Yanga waingie sokoni kwa kocha mpya. huyu amna sehemu atawafikisha kama club. nope he is not the one. awezi fikisha club to the top. naona ndo maana he always get fired.

6.AM DONE , mimi leo nimekuwa najiuliza sana. pacome sub ya guede. at that moment. shekhan . okra. musoda wapo nje. at that moment kikajua amna kitu humu. max sub ya musonda 🤔. he has the depth. he cant use it. watch guede play against sundowns. tena more minutes than he deserves.

7. Leo nimeona mwanga. I can't respect him ever. iko hivyo nimevua vyeo vyote huyu gamondi wa mchongo. I think jamaa ajui anachofanya at times. sio emotionaly I have seen him do alot of sub mistakes leo. nimejua kuwa kweli akili hana. and he is not the one.

8. Anatembelea upepo wa Nabi. he was so tactical unajua kabisa anataka nini. Ana mipingo.
huyu gamondi amna kitu, akilini imestack , useless after 1 season. fire him . amna progress hapa.

Note : Yanga mwaka huu bila bila amna kikombe mtachukua..
mamelodi atawapiga 5, mtatoka kwa aibu.
Simba atawapiga tena.
gamondi ataua depth ya kikosi
next season its over for your dominance. lastly don't watch the sundowns match utakuwa frustrated. atafanya sub ya guede kituko tena 🚮🚮.
pacome off - guede In 😂😂 kisa rushwa yake icheze tu.
Huu muda mnaandika hizi takataka mngeutumia kucheza na watoto wa Dada zenu.
 
Kwa players gamondi anao sio kwa substitute zile. I was worried about his substitution and plans. but jana it was clear he is not the manager yanga needs. still it's nabi yanga not gamondi yanga. his yanga ni guede.
Nadhani wewe una matatizo binafsi na Guede. Unajua Guede ndiye aliyetupeleka QF-CAFCL

Guede ni striker mzuri ambaye anahitaji muda. Unamkumbuka Aziz Ki wa msimu uliopita? Ndio huyu wa leo?

Nina mashaka kama unaelewa formations za mpira kati ya Coach A na B katika perspective ya modern football.

Nijibu hili, kwanini Yanga ya Gamondi ina Magoli Mengi kuliko Yanga ya Nabi?
 
honestly from day 1.. I had suspicious activities behind his transfer.. I had info on how he got to yanga. I knew something was up. guede is the worst striker we have. and yet he is the one with most minutes.???

gomondi has more goals. but Nabi has more winnings with 49 winning steak. and with less quality players than gamondi.
 
Back
Top Bottom