Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Nyie mlikua mnawaita azam mi team ya level za chini 🤣🤣
 
Unamaanisha Yanga hapaswi kufungwa? Kwani yeye nani? Hamna timu isiyofungwa duniani.
Hilo ndilo tatizo Lao wakati hawajui nyuma ya pazia ushindi mwingi ni janjajanja. Kama sio refa basi kununua mechi. Hata timu ya Mmbape huwa inafungwa itakuwa Yanga?.
 
Hilo ndilo tatizo Lao wakati hawajui nyuma ya pazia ushindi mwingi ni janjajanja. Kama sio refa basi kununua mechi. Hata timu ya Mmbape huwa inafungwa itakuwa Yanga?.
Yanga imefikia level kubwa sana ya utajiri, imeweza kuwanunua Simba na Belouizdad ambao ni mabingwa wa Algeria
 
Ww sio shabiki wa yanga ss gamondi anakuhusu nn ss wnyewe hatuna shida naye kolo hawana akili siku zote
 
Hivi mnaongelea timu ambayo ni bingwa mtetezi, anaongoza ligi kwa point 4, na yupo robo fainali ligi ya mabingwa?

Yanga haitaweza kuendelea kufunga wapinzani wake kila mechi kama mnavyotaka sababu Timu zinajifunza mtindo wake wa uchezaji ili kukabiliana nae. Kupoteza baadhi ya mechi ni sawa.
 
Ww sio shabiki wa yanga ss gamondi anakuhusu nn ss wnyewe hatuna shida naye kolo hawana akili siku zote
I had hopes team itaenda mbali. amna mtu ana bad decisions making kama huyu jamaa amna mtu humu
 
Hivi wewe unadhani kocha atakayekuja atashinda mechi zote? Au ni kocha gani wa Yanga hakuwahi kufungwa? Yaani timu inaongoza ligi, ina magoli ya kutosha na imefungwa mechi mbili, bado kocha anaonekana mbovu. Tuache mbwembwe bwana.
Kwa players gamondi anao sio kwa substitute zile. I was worried about his substitution and plans. but jana it was clear he is not the manager yanga needs. still it's nabi yanga not gamondi yanga. his yanga ni guede.
 
Huu muda mnaandika hizi takataka mngeutumia kucheza na watoto wa Dada zenu.
 
Yanga imefikia level kubwa sana ya utajiri, imeweza kuwanunua Simba na Belouizdad ambao ni mabingwa wa Algeria
tapeli gamondi is moving with nabi ball. huyu ni agent wa guede
 
Kwa players gamondi anao sio kwa substitute zile. I was worried about his substitution and plans. but jana it was clear he is not the manager yanga needs. still it's nabi yanga not gamondi yanga. his yanga ni guede.
Nadhani wewe una matatizo binafsi na Guede. Unajua Guede ndiye aliyetupeleka QF-CAFCL

Guede ni striker mzuri ambaye anahitaji muda. Unamkumbuka Aziz Ki wa msimu uliopita? Ndio huyu wa leo?

Nina mashaka kama unaelewa formations za mpira kati ya Coach A na B katika perspective ya modern football.

Nijibu hili, kwanini Yanga ya Gamondi ina Magoli Mengi kuliko Yanga ya Nabi?
 
honestly from day 1.. I had suspicious activities behind his transfer.. I had info on how he got to yanga. I knew something was up. guede is the worst striker we have. and yet he is the one with most minutes.???

gomondi has more goals. but Nabi has more winnings with 49 winning steak. and with less quality players than gamondi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…