Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Malipo hapa hapa duniani 🤣🤣🤣.2-1 na nyie mmekula 2-1
 
Ujuaji mwingi na ulichokiandika hapo na wewe unajiita unaujua mpira huyo gamondi unayemsema kakpoteza game mbili tu ni huyo huyo ambaye anendeleza kutuletea soka safi ..tatizo watz mkishiba maharage ya kuhongwa shemeji zenu basi mkapewa na kajero ka bando mnaleta ujuaji huku
 
Kwani amebadilisha mchezaji ambaye sio mchezaji wa timu.
 


Apply uwe kocha wewe
 
mimi ni blogger mzuri tu. jana i was un impressed. leo nitashusha kitu in my blog
 
sio kweli. gamondi jana ameshow kabisa kuwa he is not a good tactical couch. last he is not smart at all. he doesn't know his players either. so I think he should leave. yanga should be looking for plan B
We jamaa ni zuzu aisee.
Gamondi unayemsema ndiye anayeongoza ligi sasa hivi.
Gamondi unayemsema ndiye aliyeipa Yanga magoli mengi kuliko misimu mingine kwa ushindi mnono.
Gamondi unayemsema katoka kuifunga ihefu 5 kabla hajafungwa na Azam.
Gamondi unayemsemea KAIFANYA YANGA IVUKE HATUA YA MAKUNDI CAFCL IKIWA KATIKA KUNDI GUMU NAWEZA SEMA KULIKO YOTE TENA KWA KUMFUNGA BELOUZDAD 4.
We jamaa kichwa chako hakipo sawa ukapimwe.
GAmondi huyo huyo mzunguko wa kwanza kaifunga Azam 3-2.
Yani hii ndio shida ya kila mtu kujiita mchambuzi wa mpira halafu kichwani sifuri.
 

IT WAS ALL NABI ARCHIEVEMENT. THE PLAYER HE BROUGHT HIS GUEDE. and that is his legacy. yanga ata angekuja nani? ligi ange chukua na caf angeenda. HUYU ASIPO MTOA SUNDOWNS. Namfanyia figisu atatema bungo.
 
Jana naweza kusema wachezaji wengi walichoka , mechi 5 ndani ya siku 17

Lakini kuna makosa kadhaa yalifanyika;

Kuna wachezaji kadhaa wapo yanga lakini hawana msaada wowote mfano sureboy , nkane, mkude hawa sijui ni Nani anawabeba pale , Mbona kuna wachezaji wazuri tu wa kitanzania kina aweso, Samson nk .

Wachezaji senior Kama Pacome , Aucho wakiumia au kuchoka hakuna wa kujazia.

Gamondi jana alivurunda kwenye substitution, anatoa mchezaji mwenye ku press analeta mzubaifu .
Gamondi kuna makosa anarudia tangu mechi ya belouzidad Algeria kutosimama kila saa kuwakumbusha full backs wake wasipande kuzidi mstari wa Kati ,ili cost mechi za belouzidad Algeria , Al ahly Cairo na Jana , bila Shaka Hata mechi zote na mamelodi itai costs yanga .
Hata hao full backs wanapopanda hawaleti shambulizi lenye malengo mazuri .
Kwani huwa aangalii mechi zilizopita ?

Aziz ki Hana pumzi sio mchezaji wa kumaliza mechi ilipaswa ampishe Shehan au farid .
 
IT WAS ALL NABI ARCHIEVEMENT. THE PLAYER HE BROUGHT HIS GUEDE. and that is his legacy. yanga ata angekuja nani? ligi ange chukua na caf angeenda. HUYU ASIPO MTOA SUNDOWNS. Namfanyia figisu atatema bungo.
Kama kwenda CAF ni rahisi hivyo huyo Nabi kaenda Far Rabat huko ana kikosi cha mabioni ya pesa lakini hata hatua ya makundi kashindwa kufika.
 
IT WAS ALL NABI ARCHIEVEMENT. THE PLAYER HE BROUGHT HIS GUEDE. and that is his legacy. yanga ata angekuja nani? ligi ange chukua na caf angeenda. HUYU ASIPO MTOA SUNDOWNS. Namfanyia figisu atatema bungo.
Yanga ya Nabi ilikua inacheza mfumo wa tiktak.
Yanga ya Nabi hakukuwepo na Pacoume,Okrah,Yao kwasi,Mudathir,Max Nzengeli.
Yanga ya Nabi haikuwa na pressure on heavy touch aggressive playing.
We jamaa mpira umeanza kufuatilia juzi???
Gamondi anafika Yanga kikosi kimefumuka sana Feisal,Bangala,Djuma,Mayele n.k n.k wote hawapo.
Gamondi akaweka falsafa zake tofauti na za Nabi zile za tiktak style of playing yeye kaja na pressure on heavy touch.
KIla moja ina faida na hasara zake.
Mfumo wa tiktak ni mzuri kujilinda maana unamiliki mpira muda mrefu na kupooza mashambulizi ya mpinzani ila huu mfumo una ushindi mwembamba maana hauko too agressive.
Mfumo wa Pressure ni mzuri kufungua safu ya ulinzi ya mpinzani huweza ukakupa matokeo mengi ila shida unakua hauko vizuri kwenye kujilinda maana timu nzima hupanda juu wakati wa mashambulizi,na kama mabeki hawatawa chap kurudi counter attack zitawaadhibu.
Huo ndio udhaifu wa mfumo wa Gamondi.
TImu ya Nabi ilivunjika na Falsafa za Nabi zilivunjika.
Utakua mpira umeanza fuatilia juzi
Mbona unashangaza
 
Kama kwenda CAF ni rahisi hivyo huyo Nabi kaenda Far Rabat huko ana kikosi cha mabioni ya pesa lakini hata hatua ya makundi kashindwa kufika.
Hivi Nabi bado yupo Far Rabat??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…