Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Musonda huwa anaanza mechi ngapi na afanyi cha maana? Lete takwimu za Musonda kwenye NBC. Yanga hakuna mshambuliaji aliyekamilika, akianza Musonda tunaona bora ya Mzize au Guede, akianza Mzize tunaona bora ya Msonda au Guede. Akicheza Guede ni yale yale. Hakuna straika wa maana Yanga mpaka sasa.
Huyo Musonda kacheza mechi nyingi sana za ligi kuu na anavulunda akianza
 
Mzize anatakiwa aingie dk 20 au 30 za mwisho
 
he will lose the match. 🤌 amini. he lost the confidence kabisa in that azam match. and it's obviously watu wamejua kuwa akili mpya hana.
 
Simba atawapiga tena? How? Last game Simba 1 Yanga 5, unavyosema atawapiga tena una maanisha nini?
 
guede offers nothing. ni kama he is playing against the team. akiwa ndani ni kama mpo 10 instead of 11 . that's why wengine awasemwi ni yeye tu. imagine
 
Simba atawapiga tena? How? Last game Simba 1 Yanga 5, unavyosema atawapiga tena una maanisha nini?
previous season. second round yanga tends to lose the match. despite it all. if they qualify they will lose that simba game
 
Mechi imeleta kamusi nzima kingereza!
 
guede offers nothing. ni kama he is playing against the team. akiwa ndani ni kama mpo 10 instead of 11 . that's why wengine awasemwi ni yeye tu. imagine
Aliyewapeleka Yanga robo fainali ya klabu bingwa ni nani kama sio goli la Guede?
 
musoda always
Lete takwimu za NBC alizoanza Musonda ali offer kitu gani zaidi ya ile mechi dhidi ya Simba pekee. Musonda ndiye alikuwa anaanza na Mzize alikuwa anaingiaga sub lakini ni useless vilevile. Hakuna straika wa maana na ndio maana magoli mengi yanafungwa na viungo.
 
musoda had more minutes this season. also ni attacking midfielder mzuri tu. he offers alot. assists. pressing . speed. good passing. and more ila guede offers nothing in the team. slow, can't press, poor positioning, had to tell what he does in the field. azam match 10 mins ajulikani yupo wapi
 
Nimeomba uje na takwimu za Musonda kwenye NBC mimi sitaki tujadili hisia binafsi twende kwa namba. Kule juu comment yangu kuhusu takwimu ya Nabi na Gamondi ukaikimbia kwasababu unaonekana unapenda sana porojo kuliko uhalisia. Ili tuone impact ya Musonda kwenye ligi kuu njoo na takwimu zinazomuonesha kafanya kitu.
Assist ngapi?
Goli ngapi?
Kacheza mechi ngapi?
Swala la pasi Guede ni mpiga pasi mzuri tu ila swala la spidi nakubaliana na wewe hana spidi.
Sasa njoo na takwimu za huyo Musonda, huu mjadala tuuweke kwa namba badala ya blah blah.
 
NABI IS BETTER I SAID IT. tactical wise he is better 49 games unbeaten, 3 games loss in 2 seasons .
gamondi lost 2 games in his 1st season alone. worse he has a better squad and more support. than nabi

musoda is more than a player. he plays wings in nbc that's why it's hard to see his contributions. also gamondi doesn't use him as attack options other than a wing option. lastly nbc doesn't give great statistics and rating scale well.

guede is not even half of musonda. not even ngushi level. ngushi is better than him.
 
Ila dogo kama kweli wewe ni blogger jitahidi ujifunze lugha na kuandika. Kiswahili shida na Kingereza shida.
 
Huwezi kulinganisha aina ya ushindani kati ya msimu na msimu,
Mfano Msimu wa kwanza Nabi hakufungwa mechi hata moja lakini sare zilikuwa nyingi sana, lakini msimu wake wa pili kafungwa mechi mbili maanake alishindwa ku maintain unbeaten run sababu ya ushindani aliopata kwa timu kuimarika. Huyo Nabi huko aliko kwenye ligi ameshafungwa mechi mbili hadi sasa.

Onana anacheza winga, vipi mchango wake hauwezi kuonekana? Mchezaji yeyote anayecheza eneo la ushambuliaji lazima awe na takwimu zinazoonesha mchango wake
 
well nitoe comment yangu mapema. saa 5 usiku mbali sana. gamondi ni kichwa panzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…