Kwa hiyo alichogundua ni nini?Nadhani Sasa mmeelewa kuwa gamondi hakuwa serious na hili kombe ....Bali alihitaji kujua kama anakikosi kipana
Nadhani ndio ilikuwa target ya gamondi....kujua kama ana kikosi kipanaNgushi safari imewadia
Moloko jitafakari
Mzize abadilishwe namba acheze namba 10
Nanguka apandishwe kikosi cha wakubwa
Shekhan aamimiwe mapema yule ni aucho mtupu
Huyooo utopoloo huyoo...jana mlipofunga 1 mlishabikia mpk kamasi...acheni sizitaki mbichi hiziYaani tucheshe top players kisa 100M
Kikiosi C hebu nambie ni nani na nani hapo..kumbe mlimsajili skudu aje awe kikosi c..Fred kikosi c..zawadi..kikosi c...moloko kikosi c... Farid Musa....hao wote mbona walikua wazuri sana...au mnawadharau ndo maana na wao wakawaonyesha dharau ili mdhalilike...Lkn ni kikosi c
Wenzetu mpaka masihara wanakimbilia kung'ata.Hapana mkuu.... target yetu ni n ligi + kimataifa....[emoji23][emoji23]watu wanakamia Hadi mapinduzi cup
Sahih kabisa ."Tunawapongeza APR ila kwa sisi kitu cha muhimu ni Ligi, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA. Michuano hii tuliichukulia kama sehemu ya kufanya uchambuzi wa kikosi chetu na ni wachezaji gani wanahitaji kuboresha mchezo wao" Miguel Garmondi, Kocha wa Yanga SC. #SRSportsUPDATES #MapinduziCu
Nadhani Sasa mmeelewa kuwa Gamondi hakuwa serious na hili kombe bali alihitaji kujua kama anakikosi kipana
Sio kama makolo [emoji23][emoji23] kwenye kombe la mapinduzi wameingiza Hadi wachezaji wenye mvi.
View attachment 2865298
Ila kwenye record imeingia na bahati mbaya aliwaita wengine wapambane kuanzia nusu fainali kweni aliamini unavuka na majaribio yake."Tunawapongeza APR ila kwa sisi kitu cha muhimu ni Ligi, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA. Michuano hii tuliichukulia kama sehemu ya kufanya uchambuzi wa kikosi chetu na ni wachezaji gani wanahitaji kuboresha mchezo wao" Miguel Garmondi, Kocha wa Yanga SC. #SRSportsUPDATES #MapinduziCu
Nadhani Sasa mmeelewa kuwa Gamondi hakuwa serious na hili kombe bali alihitaji kujua kama anakikosi kipana
Sio kama makolo [emoji23][emoji23] kwenye kombe la mapinduzi wameingiza Hadi wachezaji wenye mvi.
View attachment 2865298
Juzi wakati wanacheza na apr,makolo walimuingiza onana akitokea jukwaani maana hata kwenye sub jina lake alikuwepo😂,ukitaka kujua gamondi akua serious na lile bonanza wakati tushapigwa 3 ndio kwanza anafanya sub kuwaingiza watoto"Tunawapongeza APR ila kwa sisi kitu cha muhimu ni Ligi, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA. Michuano hii tuliichukulia kama sehemu ya kufanya uchambuzi wa kikosi chetu na ni wachezaji gani wanahitaji kuboresha mchezo wao" Miguel Garmondi, Kocha wa Yanga SC. #SRSportsUPDATES #MapinduziCu
Nadhani Sasa mmeelewa kuwa Gamondi hakuwa serious na hili kombe bali alihitaji kujua kama anakikosi kipana
Sio kama makolo [emoji23][emoji23] kwenye kombe la mapinduzi wameingiza Hadi wachezaji wenye mvi.
View attachment 2865298