Gamondi: Tulitumia Kombe la Mapinduzi kujaribu wachezaji

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Tunawapongeza APR ila kwa sisi kitu cha muhimu ni Ligi, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA. Michuano hii tuliichukulia kama sehemu ya kufanya uchambuzi wa kikosi chetu na ni wachezaji gani wanahitaji kuboresha mchezo wao" Miguel Garmondi, Kocha wa Yanga SC. #SRSportsUPDATES #MapinduziCu

Nadhani Sasa mmeelewa kuwa Gamondi hakuwa serious na hili kombe bali alihitaji kujua kama anakikosi kipana

Sio kama makolo [emoji23][emoji23] kwenye kombe la mapinduzi wameingiza Hadi wachezaji wenye mvi.

1704686816743.jpg
 
Ngushi safari imewadia
Moloko jitafakari
Mzize abadilishwe namba acheze namba 10
Nanguka apandishwe kikosi cha wakubwa
Shekhan aamimiwe mapema yule ni aucho mtupu
Nadhani ndio ilikuwa target ya gamondi....kujua kama ana kikosi kipana
 
Farid Musa,lomalisa, ngushi yaani Hawa ndo wamejiharibia kwenye hii michuano
 
"Tunawapongeza APR ila kwa sisi kitu cha muhimu ni Ligi, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA. Michuano hii tuliichukulia kama sehemu ya kufanya uchambuzi wa kikosi chetu na ni wachezaji gani wanahitaji kuboresha mchezo wao" Miguel Garmondi, Kocha wa Yanga SC. #SRSportsUPDATES #MapinduziCu

Nadhani Sasa mmeelewa kuwa Gamondi hakuwa serious na hili kombe bali alihitaji kujua kama anakikosi kipana

Sio kama makolo [emoji23][emoji23] kwenye kombe la mapinduzi wameingiza Hadi wachezaji wenye mvi.

View attachment 2865298
Sahih kabisa .
Bonanza la sh milioni 100 ukawaumize Hata wachezaji muhimu halafu kombe la yanga la ligi na fa nani alitetee , caf cl kuna kumfunga belouzidad na al ahly .
Gharama za kuweka kambi pamoja na posho nk kwa siku inaweza kufika millioni 10!
Siku 10 ni 100mil
 
"Tunawapongeza APR ila kwa sisi kitu cha muhimu ni Ligi, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA. Michuano hii tuliichukulia kama sehemu ya kufanya uchambuzi wa kikosi chetu na ni wachezaji gani wanahitaji kuboresha mchezo wao" Miguel Garmondi, Kocha wa Yanga SC. #SRSportsUPDATES #MapinduziCu

Nadhani Sasa mmeelewa kuwa Gamondi hakuwa serious na hili kombe bali alihitaji kujua kama anakikosi kipana

Sio kama makolo [emoji23][emoji23] kwenye kombe la mapinduzi wameingiza Hadi wachezaji wenye mvi.

View attachment 2865298
Ila kwenye record imeingia na bahati mbaya aliwaita wengine wapambane kuanzia nusu fainali kweni aliamini unavuka na majaribio yake.
 
"Tunawapongeza APR ila kwa sisi kitu cha muhimu ni Ligi, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA. Michuano hii tuliichukulia kama sehemu ya kufanya uchambuzi wa kikosi chetu na ni wachezaji gani wanahitaji kuboresha mchezo wao" Miguel Garmondi, Kocha wa Yanga SC. #SRSportsUPDATES #MapinduziCu

Nadhani Sasa mmeelewa kuwa Gamondi hakuwa serious na hili kombe bali alihitaji kujua kama anakikosi kipana

Sio kama makolo [emoji23][emoji23] kwenye kombe la mapinduzi wameingiza Hadi wachezaji wenye mvi.

View attachment 2865298
Juzi wakati wanacheza na apr,makolo walimuingiza onana akitokea jukwaani maana hata kwenye sub jina lake alikuwepo😂,ukitaka kujua gamondi akua serious na lile bonanza wakati tushapigwa 3 ndio kwanza anafanya sub kuwaingiza watoto
 
Back
Top Bottom