Gamondi: Tulitumia Kombe la Mapinduzi kujaribu wachezaji

Huyo mwargentina namwaminia sana, anaijua kazi yake.

Caf champions league, wakwanza kutolewa kwenye shindano hilo ni Simba, mtakuja kuikumbuka hii comment.
 
We babu huwa unazitumia vyema mvi zako, nikuambie ukweli hufai kukaa meza moja na Laban og asiye na mvi hata moja ya kupaka super white.

Hamia hata Azam babu achana na hao wahuni πŸ˜‚
 
Kwa hiyo mzee gamond hao vijana wako walikua hawataki kombe la mapinduzi? Au mngeshinda kombe mngelikataa?
Halafu mzee gamondi mbona wewe na ali komeine mlijutia sana kufungwa na timu "mbovu" ya aperee?
Mzee jiangalie kwa mwendo huu, hao uto hawachelewi kukutupia mabegi yako
 
Sisi wachambuzi tunajiua tu kuwa Yanga walikuwa wanawapa nafasi vijana zaidi

gamondi akua serious na lile bonanza wakati tushapigwa 3 ndio kwanza anafanya sub kuwaingiza watoto
Hapana labda mchambuzi wewe ila wenzako watamvaa Gamondi na Yanga yake ...na sio lengo la Gamondi ...nyie wachambuzi ndio mnatuvuruga
 
Napenda hoja kama hizi za watu wa mpira
 
Baada ya kukalia ndiyo mnaleta ngonjera.
 
Huyo mwargentina namwaminia sana, anaijua kazi yake.

Caf champions league, wakwanza kutolewa kwenye shindano hilo ni Simba, mtakuja kuikumbuka hii comment.
Comment nyingine ninayoikumbuka ni ile ya "APR ni kibonde wa Yanga πŸ˜‚πŸ˜‚

Naendelea kutunza makabrasha ya mihemko ya vyura
 

Attachments

  • IMG-20240107-WA0064.jpg
    66.9 KB · Views: 3
Naona kuna tofauti kubwa kati ya Laban og na Miguel Gamondi πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • 1704732218203.jpg
    326.8 KB · Views: 3
Lomalisa? Huyu panga pangua 1st 11 ya Yanga yumo.
Hapana kwa kweli, kwa trend ya kibabage huyu jamaa atasugua sana.... Ntakua nafukua makaburi kukukumbusha... Tupo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…