Gamondi: Tulitumia Kombe la Mapinduzi kujaribu wachezaji

Gamondi: Tulitumia Kombe la Mapinduzi kujaribu wachezaji

Gamondi anaanza kushindwa kuendesha timu iwapo anetegema wachezaji wachache tu. Inaonekana hana mbinu za ushindi kwani anategemea uwezo wa wachezaji binafsi tu. Nataka kusema kuwa Gamondi hamfikii Nabi; kwani ilikuwa ni nadra sana nabi kufungwa kipindi cha pili, na mara zote ndicho kilikuwa kipindi hatari sana baada ya kumsoma mpinzani ndani ya kipindi cha kwanza. Baada ya Yanga kuongoza ndani ya kipindi cha kwanza, Gamondi alitakiwa kubadilisha mfumo na kubalance kati ya ulinzi na mashambulizi lakini yeye akaongeza mashambulinzi na kuacha ombwe kwenye ulinzi. .
Nabi anaongoza ligi Morocco huko
 
"Tunawapongeza APR ila kwa sisi kitu cha muhimu ni Ligi, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA. Michuano hii tuliichukulia kama sehemu ya kufanya uchambuzi wa kikosi chetu na ni wachezaji gani wanahitaji kuboresha mchezo wao" Miguel Garmondi, Kocha wa Yanga SC. #SRSportsUPDATES #MapinduziCu

Nadhani Sasa mmeelewa kuwa Gamondi hakuwa serious na hili kombe bali alihitaji kujua kama anakikosi kipana

Sio kama makolo [emoji23][emoji23] kwenye kombe la mapinduzi wameingiza Hadi wachezaji wenye mvi.

View attachment 2865298
Muongoooo[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muongoooo[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
20231224_095052.jpg
 
Ni samehe mkuu...isije kuwa nabishana kocha😂
Mimi sio kocha ila wewe km ni mdau wa mpira tukutane tff pale halafu tuone nani atapokelewq vipi na atasikilizwa vp kati ya mm na wewe , au twende kwenye ofc za hizo timu zenu pale salamander tower au oystetbay ..tutajuana

Au twende Media yoyote kubwa then tuone mm na wewe nani atapewq umuhimu
 
Yaishe mkuu🏃🏃😂
 
Back
Top Bottom