Wachezaji wa YANGA Wana shida ya kutetemeka miguu,pasi nyingi wanampa adui. Ukitaka kumuweza mwarabu lazima uwe na lijitu mbele lenye miguvu na mbio zaidi ya bolt. Lakini hivi vipas vya Moja Moja wajamaa wanajua kuziba nafasi hutoboi
Ukitaka kumuweza mwarabu tumia mbinu ya Mamelodi sundowns.
Mchezeshe juani.. mechi ianze saa tisa jua linawaka. Na iishe saa 10 jua bado kali linawaka.
Mamelodi tunamsifia anamuweza mwarabu. Mtazame anacheza nao saa ngapi pale south.
Mwarabu hajazoea kucheza kwenye jua.. anakua hana makali, anapatwa na kiu za maji tu na kwikwi nyingi