Gamondi wachezaji wanakuangusha!

Wachezaji wa YANGA Wana shida ya kutetemeka miguu,pasi nyingi wanampa adui. Ukitaka kumuweza mwarabu lazima uwe na lijitu mbele lenye miguvu na mbio zaidi ya bolt. Lakini hivi vipas vya Moja Moja wajamaa wanajua kuziba nafasi hutoboi

Ukitaka kumuweza mwarabu tumia mbinu ya Mamelodi sundowns.

Mchezeshe juani.. mechi ianze saa tisa jua linawaka. Na iishe saa 10 jua bado kali linawaka.

Mamelodi tunamsifia anamuweza mwarabu. Mtazame anacheza nao saa ngapi pale south.

Mwarabu hajazoea kucheza kwenye jua.. anakua hana makali, anapatwa na kiu za maji tu na kwikwi nyingi
 
Gamondi ignore this thread
 
Hii ni game ya Aziz Ki. Akiwa na game nzuri Yanga ina nafasi ya kufanya vizuri ila Al Ahly wakimbana vilivyo akapotea, itakuwa game ngumu sana kwa Yanga

Nilisema kabla ya hii mechi, hii game ilikuwa inamhitaji sana Aziz Ki, huyo ndiyo alikuwa na uwezo wa kuibeba Yanga bila yeye nafasi ya kutoboa ilikuwa finyu sana
 
Nadhani walijitahidi sana uongozi uache ubahiri wanasajili na 9 mwenye weledi wa kutosha
 
Hii ni kweli kabisa, Aucho kwenye dk za nyongeza alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kushoot na kufunga yeye akatoa pasi kwa mchezaji aliekuwa aliekuwa amekabwa.
 
Mna ushauri mzuri, tumeni maombi ya kuwa makocha, Ma zombie nyinyi.
Brother km huna mke nina dada yangu pisikali sn, uje uoe na harusi nagaramia.
Bongo mdomo mdomo sana.
Kocha, wachezaji, viongozi hakuna mwenye kosa, tujipange game ijayo bado tuna nafasi
 
Brother km huna mke nina dada yangu pisikali sn, uje uoe na harusi nagaramia.
Bongo mdomo mdomo sana.
Kocha, wachezaji, viongozi hakuna mwenye kosa, tujipange game ijayo bado tuna nafasi

Amina Kaka, hawana maana hawa, kila kitu wabakosoa, nishaoa ndugu yangu, ila shukran.
 
Tanzania kila mtu anajua mpira na ni mchambuzi !! Ooh nchi yangu
We utakuwa kolo tu, punguza ujuaji, mpira ni mchezo wa wazi kila mtu ameona kama mimi nikiwa nimekaa kwenye kochi na soda yangu ya bardiiiii!

Kila mtu ameona jinsi wachezaji wetu walivyohangaika kujionesha wanajua mpira kupiga chenga kijiji na kulazimisha kufunga huku pembeni Kuna mchezaji mwenye nafasi nzuri zaidi.

wachezaji walikuwa wabinafsi zaidi badala kujali maslahi ya timu,

Tuachie Yanga yetu, timu ikicheza vizuri tunasifia, ikikosea tunakosoa ndio maana Yanga ikawapiga Makolo 5G na supu tukanywa Ili tuikosoe timu lengo ni kujenga Mzee baba!
 
hivi wewe unamjua gamondi? kwa akili yako unadhani gamandi kaanza kuwa kocha hapa tanzania? gamondi kafundisha aljeria,mortocco na sauth africa pia,ana ujuzi wa zaidi ya miaka 30 anafunfisha mpira,penye dosari anajua sana,usimfundishe kazi wewe ambae hata ukocha ni nini,hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…