Tetesi: Gara B - Mc Ufunguzi World Cup Qatar 2022

Tetesi: Gara B - Mc Ufunguzi World Cup Qatar 2022

Tunamshukuru rais wetu kipenzi kwa kuifungua nchi na kuliwezesha hilo jambo la mc wetu brazameni garaB kualikwa kwenye ufunguzi wa dimba la WC [emoji41][emoji41][emoji851][emoji851]
 
Katika Muendelezo wa Mafanikio ya Mkoa wa Kagera mara baada ya shule za Kemebos kuwa wa kwanza kitaifa na kimataifa sasa ni zamu ya Mc wa Kimataifa Mc Gara B kung'aa kimataifa baada ya kupata tenda ya kuongoza ufunguzi wa World cup huko Doha, Qatar
Bila shaka wewe mwenyewe ni
Inshomile!!!
 
Kuwa MC kombe la dunia ni kitu kizuri,nasi kama taifa tutafurahi kuona mtanzania mwenzetu ana fanya show kubwa kama hiyo.
 
Back
Top Bottom