Gardner achakazwa baada ya kumkuwadia mwanae

Gardner achakazwa baada ya kumkuwadia mwanae

Ni kweli,na je muda wote huo mshkaji/huyo mzee alipokua anatafuta hizo pesa alikua hana wanawake huko alipo sio?Au alikua anasubiri apate hizo pesa ndio aje akamuoe binti yenu sio?

Uzuri sisi wanaume sio mafala hua tunajua kabisa huyu kanipenda sababu niko njema,na siku njemba ikilewa inatoa shit tu, kwani we si umenipendea hela zangu tu.

Wengine waliopinda wao wanataka kufukua mitaro tu,binti akibisha anaambiwa kama umenipendea hela zangu utafanya nnachotaka kama hutaki njia nyeupee,binti inabidi awe mpole tu ukizingatia baba/mama mkwe/shemeji wote macho yako kwa mmewe.

dodge
Hiyo ni wewe. Wapo wenye hela zao na wanapenda kwa dhati, wanaona raha kutumia pesa zao kwa wake zao huku wakiwapenda. Uzuri ni kwamba wanaume hamfanani..sio kila mtu atapata kama wewe ulivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri ni kwamba sisi wanaume tunapenda kutumia hela zetu na tulio okota nao kuni na tunawajua ni wakina nani.

Hawa wengine tuliokutana nao kivulini/tumeshatoboa tunawajua vzr pia,intentions zao na namna ya ku deal nao,easy as that.
Hiyo ni wewe. Wapo wenye hela zao na wanapenda kwa dhati, wanaona raha kutumia pesa zao kwa wake zao huku wakiwapenda. Uzuri ni kwamba wanaume hamfanani..sio kila mtu atapata kama wewe ulivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Hakuwa na kipato chochote cha kumuwezesha kuishi unamaanisha hivyo?
Kuzidiwa kipato na mwanamke ndio kulelewa?
Acheni unafiki wabongo.
Sasa analelewa na nani baada ya kuachwa na huyo JD?

Sent using Jamii Forums mobile app
Baelezee! baelezee! Baba Mukuru! Mario ni neno linalo wakaa sana maskini hivi, eti mke akiwa mwalimu na Vi-sofa vya keko! ni tajiri tayari! jamani! ukioa huyo wewe ni mariooo! heee! nyie watu!

Hata Gardner ana hela amesoma, familia zote za pande mbili zina hela, hivo wamekutana wenye nazo! mlie tu!

Nyie mnaosota Kwenye mikoko ya kwa Azizi Ally Bondeni, oaneni hukohuko! tuacheni sisi wa Oyster Bay tuishi kivyetu! Jide hana mali ya kutisha mtu ni maisha ya kawaida, au huto tu gari ndo mnatetemeka?

Ukiishi Bongo utakuwa mjinga sana,Maskini, bora uishi na ujichanganye mbele huko! hawa wajinga wakuone kwa msimu! yaani eti kighorofa kimoja cha mawazo wewe tayari ni tajiri, unaogopwaaa!

Wakati Uganda ukiwa na Lunch + Farm-Estate la maana unaitwa ''kanjanja mkanja Bhuro''
 
Mitandao ya Kijamii na watu mbalimbali zikiwepo Asasi za Kijamii zimemshika pabaya kama siyo kumchakaza kwa comments mtangazaji Gardner baada ya kutoa kauli isiyo na chembe ya utu uzima.

Nisikuchoshe endelea...

Kati ya kauli iliyoibua mijabara mikubwa kwa sasa ni hii ya kijana mwenzenu Gardner Habash kuwa;

View attachment 1314983

"Natamani mwanangu Karen awe na mahusiano na mtu mkubwa mwenye umri kama wa wangu 'Sugar daddy' ili amtunze, kwasababu watu wa umri wake hawawezi kumuelewa wala kumsaidia chochote, wao wenyewe wanatafuta maisha, alafu umpe mzigo kama huu ataweza kulipa bill zake?"

View attachment 1314984
Moja ya komenti hii hapa: 👇

Mchango:

Soma:Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu waziri aingilia kati..
Ila Gardner Binti yako mzuri bana huo ndo ukweli kama Kanyarwanda fulani hivi! au kachukua kwa Mama yake? ungeweka na picha ya ***** ingekuwa vizuri zaidi, wewe hunapua hiyo!
 
Mitandao ya Kijamii na watu mbalimbali zikiwepo Asasi za Kijamii zimemshika pabaya kama siyo kumchakaza kwa comments mtangazaji Gardner baada ya kutoa kauli isiyo na chembe ya utu uzima.

Nisikuchoshe endelea...

Kati ya kauli iliyoibua mijabara mikubwa kwa sasa ni hii ya kijana mwenzenu Gardner Habash kuwa;

View attachment 1314983

"Natamani mwanangu Karen awe na mahusiano na mtu mkubwa mwenye umri kama wa wangu 'Sugar daddy' ili amtunze, kwasababu watu wa umri wake hawawezi kumuelewa wala kumsaidia chochote, wao wenyewe wanatafuta maisha, alafu umpe mzigo kama huu ataweza kulipa bill zake?"

View attachment 1314984
Moja ya komenti hii hapa: 👇

Mchango:

Soma:Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu waziri aingilia kati..
Hiyo kauli inaonyesha baba anamtamani bintiye kimtindo!
 
Hii comment yako inaonyesha unamfaham huyu jamaa na aliwahi kufanya broken unayo ifaham eeh..!
Ndio maana walishindwana na Jide mtafutaji mwanaume kuwa na mawazo Kama haya Bora uwe unafanya blowjob kwa wanaume wenzako umtunze mwanao cc Gardener mfyuuuuuuuuuuuuuuuuhh
 
Back
Top Bottom