Hapa wala hatujadili uhalali wa kuachana kwao tunachojadili ni ikiwa ni haki kwa Gardner kudai mgawanyo wa mali kama kweli watakuwa wameachana (ingawaje dalili ndivyo zinavyoonesha).Hapa tunaisemea mioyo ya Gadner na Jide ....chanzo cha kuachana kwao wanafaamu wenyewe. What if Gadner ndo chanzo?? Jide anasababu za kumlazimisha warudiane?
Kama imefika mwisho basi. Tumuache jide ajipe raha mwenyewe. Expirience ya kuachana kila mtu anayo, tunafaamu kabisa mkiachana mmoja wenu akawa kinganganizi atanyanyasika, sasa Kwann jide leo.
Thubutu... kuchapiwa? Nani kasema! Kabla sijatoka asubuhi lazima nikuchoshe kwanza, baada ya hapo ukitaka kwingine basi utakuwa na mapepo labda kama kwa lengo la kunikomoa!
Na maana yangu ndiyo hiyo hiyo... kwamba, in other way, Gardner angekuwa ndie mwanamuziki mwenyewe na Jide ndie manager wa Gardner... je, Jide angekuwa na haki ya kudai mgao?Huko ulikokwenda siko.
Nilikuquote kwa mujibu wa hizo sababu zako ulizokuwa unaziainisha i.e umanager na uproducer.
mwanaume unaenda kudai mali???
Mmmh hebu ajichungulie kama ni kweli mwanaume
Thubutu... kuchapiwa? Nani kasema! Kabla sijatoka asubuhi lazima nikuchoshe kwanza, baada ya hapo ukitaka kwingine basi utakuwa na mapepo labda kama kwa lengo la kunikomoa!
Labda aliona hawezi....
Aliimbaga nyimbo gani Fina hata sikumbuki vizuri
Ulishawahi kusikia mtu anazoea kula na kuaamu kupiga ndefu? Labda kama ulioa kwa fasheni otherwise, utataka kula kila siku... hilo la watoto, ndo maana nasema nasubiri nizeeke zeeke kwanza... halafu we HOE inaelekea bado upo under age... wenzako wanavyopenda hizo za alfajiri afu we unasema hutaki!!! Mi mwenyewe, usiku niwe nimepiga menu hadi kuvimbiwa, lakini alfajiri LAZIMA tuhitimishe karamu!Siku za mwanzo mwanzo utafanya hivyo ila ukishazoea we ukija ni kulala na kukoroma juu asubuhi.. Morning glory utakua unaitoa huku waitizama saa muda umefika wa mie kutoka mmh hayo mambo hapana.. achiloa hivyo mkiwa na watoto muda wa kuspend na wewe baba hamna
Asikuambie mtu aisee, asubuhi subuhi ni full flavor... manake mwili unakua umepoa bariiiiiidi mara ghafla unaupiga shoti za umeme... e bwana en; utasema kumbe maisha si ndo haya! Utashangaa mnakubaliana kuweka alarm ili isitokee siku ya kupitwa!We unaweza kushindia breakfast? Kwa hali ya kawaida? Lol
Kazi ya Gardner kama presenter ilikuwa inategemeana kwa kiasi kikubwa na kazi ya mke wake! Mimi binafsi, and am talking this from deep inside my heart, sioni mtu ambae anaweza kuwa trustworthy partner zaidi ya wife unless mwanamke mwenyewe awe stupid! Na sioni trust worth partner kwa mwanamke zaidi ya mume wake unless kama huyo mwanaume nae ni stupid! Gardner hakuwa kula kulala, alikuwa ana kazi yake na alikuwa anaingiza sana pesa kupitia matangazo lakini aliamua ku-invest trust yake kwa mkewe...
Sure... na hizo conditional a.k.a assumptions kama ulivyoziita nilishazisema tangu awali... kwamba kile kitakachothibitika ni jasho la Jide peke yake lazima kitawekwa pembeni na kama kuna cha Gadner peke yake nacho kitawekwa pembeni halafu wataangalia kama kuna makubaliano yoyote kati yao! Hilo ni lazima coz' haiwezekani na wala haitakuja kutokea kwamba, let's say leo hii Mzee Mengi anavuta Avemaria halafu siku unapewa cha mbavu halafu udai pasu kwa pasu... itakuwa ni wizi wa mchana kweupe!! Haya nimekufurahisha, na mimi nifurahishe basi manake nimenuna tangu jana baada ya kukimbiwa na nifah...
Na maana yangu ndiyo hiyo hiyo... kwamba, in other way, Gardner angekuwa ndie mwanamuziki mwenyewe na Jide ndie manager wa Gardner... je, Jide angekuwa na haki ya kudai mgao?
No... Jide hakuwa selfish wala Gardener hakuwa selfish... ni basi tu shetani kawazidi nguvu! Kuhusu kama ingekuwa mimi ningefanya hivyo, nimeshakupa jibu kwamba ningefanya coz' nisipomuamini wife nitamuamini nani tena?! Wife is the only person next to my mum lakini kwavile siwezi kushirikiana na my mom basi wife ndie best suit! Sasa kama humuamini mke au mumeo wako kwanini unaoa au kuolewa? Kama shida ni kufungua zipu, unaweza kufungua zipu bila kuoa! Kama shida ni watoto unaweza kupata watoto bila kuoa! Kwangu mimi ndoa ni kutafuta mshirika wa kuaminika! Ndugu yako anaweza kuwa mshirika wako lakini ndugu yako hawezi kuwa na uchungu na wanao wakati na yeye anao wake kama ambavyo mke au mme wako anavyoweza kuwa na uchungu! Mwanamke mpumbavu na mwanaume mpumbavu ni yule hata mnaposhirikiana anaamua kukuibia ili awe na cha kwake peke yake simply because s/he feels so insecure lakini ndugu yako anaweza kukuibia kwavile ni kweli anahitaji kuwa na chake kv chako si chake!Kwa hiyo tuseme Jide alikuwa selfish kiasi kwamba mambo mengi alikuwa anajilimbikizia yeye tu?
Btw: ungekuwa wewe ungefanya hivyo? Once again!!!
Kumbe sasa tunapishana wapi?! manake ni kweli nakumbuka kwamba you've no problem kwa Gardner ku-claim anachostahili.... sasa tunapishana wapi?Hili swali ungeniuliza endapo tu ningekuwa nimekubishia kuwa Gadner hayuko entitled kwenye mgao!
Ah! We bhana tangu utangaziwe uchumba na Le Mutuz wala huaminiki tena... Le Mutuz akiongea kitu kidogo tu, unajichekesha hadi unadondosha hand bag, aaaaargh... mambo gani hayo!Hahahaaaaaah....lol mbona nipo jamani...sijakukimbia hata...
Asikuambie mtu aisee, asubuhi subuhi ni full flavor... manake mwili unakua umepoa bariiiiiidi mara ghafla unaupiga shoti za umeme... e bwana en; utasema kumbe maisha si ndo haya! Utashangaa mnakubaliana kuweka alarm ili isitokee siku ya kupitwa!
Hii hapa:Labda aliona hawezi....
Aliimbaga nyimbo gani Fina hata sikumbuki vizuri
Mwanaume ana haki ya kudai talaka na Mahakama ikijiridhisha ndoa hiyo haiwezi kusimama tena mahakama inaivunja ndoa rasmi with divorce decree.