Sure... na hizo conditional a.k.a assumptions kama ulivyoziita nilishazisema tangu awali... kwamba kile kitakachothibitika ni jasho la Jide peke yake lazima kitawekwa pembeni na kama kuna cha Gadner peke yake nacho kitawekwa pembeni halafu wataangalia kama kuna makubaliano yoyote kati yao! Hilo ni lazima coz' haiwezekani na wala haitakuja kutokea kwamba, let's say leo hii Mzee Mengi anavuta
Avemaria halafu siku unapewa cha mbavu halafu udai pasu kwa pasu... itakuwa ni wizi wa mchana kweupe!! Haya nimekufurahisha, na mimi nifurahishe basi manake nimenuna tangu jana baada ya kukimbiwa na
nifah...