Gardner amkana jaydee kweupe

Mjinga uyo sasa kufanya hivyo ndio ujanja au? Mamtu mengine kama hayajitambui yeye hajui uko ni kujidharirisha au anatafuta kiki? Yeye angesema tu now yupo single basi sasa hizo mbwembwe za kuvuana nguo ni nini anajiweka sokoni au? Aangalie asije tunzwa na man mwenzake safari hii
 
Karibu tena chama cha mabachera braza nafasi yako ya uenyekiti tutakurudishia il ufurahie zaid maana umefanyiwa jail breaking kaka hongera
 
Gardner usingle kautoa wapi? Ni lini na ninani kavunja ndoa yao na Jide? Alipewa au kutoa lini Talaka?
Me nafikiri Gardner na Jide wametengana bado hawajavunja ndoa yao!

Ni vyema wanawake wakawa makini maana Gardner anaweza kuwadanganya atawaoa wakati ndoa bado hajavunja na wakaingia mkenge!

Halafu hii radio aliyo kwenda sidhani kama ina utofauti na Times FM maana zote Mwisho wake Dares-salaam!
 
Mwanzo nilikuwa na muweka kwenye kundi la wenye busara kumbe nilikosea!
 
Na huyo bibi yenu amekauka kama anakula saruji asepe kule. Kitu gani, kutwa kuchwa kutafuta sympathy. Manina zake. Uso umemshupaa kama mwiko wa pilau.
 
Jamani kumvumilia mwanaume anayechepuka daily tena bila aibu inahitaji moyo sana...hata hivyo jide kavumilia sana kiukweli...

kuishi na jide ni ngumu mnoo,ni morofimbinafsikatili,roho mbayavinyongo visivyoisha,gadna ana mapungufu ila ya jide hayavumiliki acheni gadna apumzike jide ni janga
 
Na huyo bibi yenu amekauka kama anakula saruji asepe kule. Kitu gani, kutwa kuchwa kutafuta sympathy. Manina zake. Uso umemshupaa kama mwiko wa pilau.

hahahaaaaa daaah hii ni kweli tupu imenifurahisha sana
 
Na huyo bibi yenu amekauka kama anakula saruji asepe kule. Kitu gani, kutwa kuchwa kutafuta sympathy. Manina zake. Uso umemshupaa kama mwiko wa pilau.

Makubwa mwiko wa pilau,,, teh teh teh
 
Makubwa mwiko wa pilau,,, teh teh teh

Tumemchoka wapo kina Vanessa Mdee wanaimba nyimbo kali haingii hata robo. Asepe akauze maandazi kwenye kimgahawa chake awe mama ntilie maisha yaendelee she can make à better mama ntilie after all.
 
kuishi na jide ni ngumu mnoo,ni morofimbinafsikatili,roho mbayavinyongo visivyoisha,gadna ana mapungufu ila ya jide hayavumiliki acheni gadna apumzike jide ni janga
Kwakweli. Kile kizee kile!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…