kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Hii imetokea jana katika tamasha maalum la kituo kipya cha kazi cha Gardner E.FM ambapo Gardner alipanda jukwaani kujitambulisha mashabiki waliokuwepo wakamuuliza shemeji Jaydee yuko wapi? Akawajibu i am single boy now kisha akaomba awekewe nyimbo ya Single boy ya Ali Kiba na kuicheza jukwaani huku akimpandisha jukwaani shabiki wa kike na kumwambia amvue tishet yake kimahaba kuthibitisha usingo boy wake ambapo demu huyo alimvua kwa staili hiyo gardner huku ukumbi ukilipuka kwa shangwe.
Duu sasa yule bibi itabidi arudi tena studio kutoa albam ya kumnanga mtalaka wake!...kibibi kina tabu kile na viguu vyake kama kinakimbia moto!