Gardner amkana jaydee kweupe

Gardner amkana jaydee kweupe

Hii imetokea jana katika tamasha maalum la kituo kipya cha kazi cha Gardner E.FM ambapo Gardner alipanda jukwaani kujitambulisha mashabiki waliokuwepo wakamuuliza shemeji Jaydee yuko wapi? Akawajibu i am single boy now kisha akaomba awekewe nyimbo ya Single boy ya Ali Kiba na kuicheza jukwaani huku akimpandisha jukwaani shabiki wa kike na kumwambia amvue tishet yake kimahaba kuthibitisha usingo boy wake ambapo demu huyo alimvua kwa staili hiyo gardner huku ukumbi ukilipuka kwa shangwe.

Hana higiza hili hawe hot kwa vyombo vya habar
 
Hahaha ame kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni
 
e.fm inamilikiwa na wanaomiliki MAISHA CLUB

Sasa hivi MAISHA CLUB sio dili tena kiviiile hapa mjini. Mambo yote ESCAPE ONE na sehemu zinginezingine huko mikocheni siku hizi vinafunguliwa viwanja vya kufa mtu. Unajua kwanini? Town kuna fitina nyingi sana. Inakubidi uwe mjanja wa kuunganisha ma-dot ndo ung'amue. Hapo ndo ma-don wa city wanapochukuaga nafasi yao.
 
e.fm inamilikiwa na wanaomiliki MAISHA CLUB

Sasa hivi MAISHA CLUB sio dili tena kiviiile hapa mjini. Mambo yote ESCAPE ONE na sehemu zinginezingine huko mikocheni siku hizi vinafunguliwa viwanja vya kufa mtu. Unajua kwanini? Town kuna fitina nyingi sana. Inakubidi uwe mjanja wa kuunganisha ma-dot ndo ung'amue.
 
Alichofanya Gardner ni utoto mtupu, nadhani kwa sababu hawana bond ya mtoto ndio maang Gardner amefanya upuuzi.

Strong ties mkiwa na watoto wote ni lazima mtajistahi kuwaogopa na kuwaheshimu watoto.

Lakini Gadner si anaye mtoto? Kwanini asimheshimu mtoto wake? Hivi mtoto tena wa Kike anajisikiaje anapomuona Baba ake akivuliwa shati stageni na malaya? Kwa hili kachemka.
 
Mzazi asiyeweza kumuheshimu mtoto wake ni wa hovyo kabisa, ngoja mtoto wake aanze kufuniliwa live ndio akili itamrudia.
 
Chama cha kudai haki za wanaume wanaopigwa na wake zao wakati ndo huu,
Jamaa kudai talaka genes alikuwa anakungutwa
 
Staki mwenzie basi.. Kama haiwezekani kua pamoja basi au kama wanatakana waendele duo mbaya kuombanaa msamaha yakaishaa...
 
Jamani kumvumilia mwanaume anayechepuka daily tena bila aibu inahitaji moyo sana...hata hivyo jide kavumilia sana kiukweli...

Alipata bahat kaichezea, ataisoma namba mwaka huu maninaa, na macho yake ya makengeza kama mchina
 
Hana mana huyo Gardner huo upuuzi wakufanya hivyo anatakiwa mwanamke afanye sio yeye,anatakiwa ajiheshimu kama mwanamme havo vishindo anamfanyia nani?
 
Alipata bahat kaichezea, ataisoma namba mwaka huu maninaa, na macho yake ya makengeza kama mchina

Hahahaaaa alafu anaonekana kabisa ni mlevi yule..kile kipindi cha nani mtani jembe anaonesha live tabia yake ya umalaya...alikua anamuangalia wema hatariiiii
 
Alichofanya Gardner ni utoto mtupu, nadhani kwa sababu hawana bond ya mtoto ndio maang Gardner amefanya upuuzi.

Strong ties mkiwa na watoto wote ni lazima mtajistahi kuwaogopa na kuwaheshimu watoto.

Kabisa..watoto wanafanya ndoa nyingi zidumu kwa sababu kila mmoja anajitahidi kuilinda heshima yake,kwani ni nani asiyekua na matatizo kwenye ndoa yake?
Watu wanavumilia na maisha yanaenda...ila Gardner anajionesha dhahiri makucha yake sasa...
 
..........

Wanasema tabia ni kama Ngozi
kama aliweza kuachana na mke wake wa kwanza na walikuwa na mtoto hata hapa wangeachana bahati mbaya sana watu tunahisi tu kama wameachana na hata kama wameachana kweli bado hakuna pia mwenye sababu hasa za kwa nini wameachana wengi hatujui nani source ya huo ugomvi kama kweli upo
 
Ninacho amini hakuna star atakae weza ishi na star.milele migogoro haiwezi isha ila uvumilivu ndio unao waeka baadhi nje yenyewe mipasuko sembuse apa chips yai
 
Back
Top Bottom