Gardner amkana jaydee kweupe

Gardner amkana jaydee kweupe

Hii imetokea jana katika tamasha maalum la kituo kipya cha kazi cha Gardner E.FM ambapo Gardner alipanda jukwaani kujitambulisha mashabiki waliokuwepo wakamuuliza shemeji Jaydee yuko wapi? Akawajibu i am single boy now kisha akaomba awekewe nyimbo ya Single boy ya Ali Kiba na kuicheza jukwaani huku akimpandisha jukwaani shabiki wa kike na kumwambia amvue tishet yake kimahaba kuthibitisha usingo boy wake ambapo demu huyo alimvua kwa staili hiyo gardner huku ukumbi ukilipuka kwa shangwe.

Huyo anaomba msamaa kiujanja kwa kumrusha jide roho, enzi hizo zimeshapita mwambie huyo rafiki yako G aombe msamaa tu ili apate hisani ya watu wa TARIME asijifanye kidume wakati yeye ni MARIOO
 
na jirani zao Balatogwa.


Je gerezani Kasungamile



Na Nyamizeze



Na Nyehunge na Kahunda
Hahahahaaa, mnanikumbusha miaka mingi sana Sengerema nikiwa A-Level, dah! I really miss Mwabaluhi kwa sababu tulikuwa tunaenda kwa mama ntilie kula ubwabwa usiku! Hii bila kusahau SM (Soko Mjinga)!
 
Gadner ameshazoea kuolewa,
Ndoa ikichuja anasepa,
Gadner anapanda juu ya mti kusema anataka mali.

Inabidi Gadner arudi jando akajue majukumu ya kiume.
 
Tumemchoka wapo kina Vanessa Mdee wanaimba nyimbo kali haingii hata robo. Asepe akauze maandazi kwenye kimgahawa chake awe mama ntilie maisha yaendelee she can make à better mama ntilie after all.


mtachonga sana jide nu next level
 
hahahaaaaa daaah hii ni kweli tupu imenifurahisha sana

leo sisemi mana naona team jide midomo wazi.....sasa atafute mjane wa kiume....jamani ama kweli upendo haununuliwi yapo wapi.....lakini pole yake mana atapoooza sana ameondokaaaa amekwenda mbaliiiiiiiiiiii!!
 
Back
Top Bottom