Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Uuuuwiiii....
Ni shidaaaaaaaaaa nasikia zari mtamu balaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uuuuwiiii....
Ni shidaaaaaaaaaa nasikia zari mtamu balaaaaaaa
Ni shidaaaaaaaaaa nasikia zari mtamu balaaaaaaa
Hahahaaaaaa jamani umesikia wapi?yaani leo team wema wamepotea kabisa...
Anaonekana bwana...mdada mzuri huyuu...
Yaan dada natural kama memeeeeeeeeeewee kwiii kwiii Daimond anafaidi aiseeee wache wivu utuue tu
Mhh...ngoja ninyamaze naogopa kuropoka...
Nitombokee mie mwayaaaaa
Kwani ameshachukua Talaka??
Akuu naogopaa...ila tu Dai anafaidi mweee
efm ya jide halaf kampga chin gadner inakuwaje hapo ktk utawala???
Jamani kumvumilia mwanaume anayechepuka daily tena bila aibu inahitaji moyo sana...hata hivyo jide kavumilia sana kiukweli...
hajamkana, nia yake ni kuwaelekeza kwamba ile talaka aliyokuwa anaidai kashapewa
gadna malaya kuna siku mdogo wangu yuko holiday inn alimhudumia na kidemu chake yaani wakachukua chumba mpaka asubuhi
si mara moja
Mwanzo nilikuwa na muweka kwenye kundi la wenye busara kumbe nilikosea!
Yaani acha tu jamani hawa wanaume ni shida...hata kama jide nae anachepuka lakini anajiheshimu...