Gardner amkana jaydee kweupe

Gardner amkana jaydee kweupe

Hahahaaaaaa jamani umesikia wapi?yaani leo team wema wamepotea kabisa...

Alaaaaaa chezea mimiii, heheer wataanzajee na Zari ni le big bossssssssss uwiiiu yaaan zari mwaaah mwaaah
 
Uthibitishoo wa tukio tunaombaa km pichaa n muhimu msiongee vitu vya kusadikikaa
 
Mimi sikai Dar nasikia ni mtangazaji maarufu mbona was mikoani hatumsikii wala kumjua?
 
Jamani kumvumilia mwanaume anayechepuka daily tena bila aibu inahitaji moyo sana...hata hivyo jide kavumilia sana kiukweli...

gadna malaya kuna siku mdogo wangu yuko holiday inn alimhudumia na kidemu chake yaani wakachukua chumba mpaka asubuhi
si mara moja
 
gadna malaya kuna siku mdogo wangu yuko holiday inn alimhudumia na kidemu chake yaani wakachukua chumba mpaka asubuhi
si mara moja

Yaani acha tu jamani hawa wanaume ni shida...hata kama jide nae anachepuka lakini anajiheshimu...
 
Mpenzi haujazaliwa naye tumbo moja, sometimes inabidi iwe ivyo maisha yaendelee.
Kuna watoto humu hata hawajui kuwa jlo alishakua na pdidy coz maisha yaliendelea hadi hakuna haja ya kukumbuka past relation za watu coz wenyewe wameshasahau waliokua na mahusiano nao awali.
 
Mwanzo nilikuwa na muweka kwenye kundi la wenye busara kumbe nilikosea!

Tena ulikosea sana ila sio mbaya kwa kuwa hakuweka wazi sana ujinga wake...otherwise atakua anaweweseka kwa kudhani akifanya hivyo atamuumiza Jide kumbe ni upuuzi
 
Yaani acha tu jamani hawa wanaume ni shida...hata kama jide nae anachepuka lakini anajiheshimu...

kwa nini hadumu na wanawake?!!sawa jide mtata ila g mmalaya umalaya wake hauna macho
 
Back
Top Bottom