Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
vita vya panzi sherehe kwa kunguru ngoja tusogee kwa binti machozi
Hahahahaaaa wewe utakua unafuata pesa tu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vita vya panzi sherehe kwa kunguru ngoja tusogee kwa binti machozi
sio msengerema mkuu ila niliwekaga kambi kwa ankoo kwa km 1 year unusu...!!!!!!ha! ha! ha! nimewasalimia bila shaka na wewe ni Msengerema
Gardner ndio nani tenaa....aaa
Gardner ndio nani tenaa....aaa
Mjinga uyo sasa kufanya hivyo ndio ujanja au? Mamtu mengine kama hayajitambui yeye hajui uko ni kujidharirisha au anatafuta kiki? Yeye angesema tu now yupo single basi sasa hizo mbwembwe za kuvuana nguo ni nini anajiweka sokoni au? Aangalie asije tunzwa na man mwenzake safari hii
Jamani kumvumilia mwanaume anayechepuka daily tena bila aibu inahitaji moyo sana...hata hivyo jide kavumilia sana kiukweli...
Na huyo bibi yenu amekauka kama anakula saruji asepe kule. Kitu gani, kutwa kuchwa kutafuta sympathy. Manina zake. Uso umemshupaa kama mwiko wa pilau.
Na huyo bibi yenu amekauka kama anakula saruji asepe kule. Kitu gani, kutwa kuchwa kutafuta sympathy. Manina zake. Uso umemshupaa kama mwiko wa pilau.
Makubwa mwiko wa pilau,,, teh teh teh
hyo redio efm 93.9 fm mmiliki wàke n nan???
Kwakweli. Kile kizee kile!!!!!kuishi na jide ni ngumu mnoo,ni morofimbinafsikatili,roho mbayavinyongo visivyoisha,gadna ana mapungufu ila ya jide hayavumiliki acheni gadna apumzike jide ni janga
Uwiiiiiiiiiiii habareee ya mjiniiii Daimond