Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
LICHA ya kutothibitishwa juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa ndoa yake na mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ' Jide' , mtangazaji maarufu Bongo , Gardner G . Habash ' Kepteini 'amenaswa na kabinti akiwa kwenye pozi tata za kimahaba hivyo baadhi ya watu kuhoji anasaliti ndoa?
Wawili hao walionekana kuwa karibu na Benet muda wote wa tamasha lililoandaliwa na airtel kwenye ufukwe wa Coco Beach hadi mwisho na kuna muda walionekana kubadilishana vinywaji.
Gardner alipoulizwa " Ebwana ni kweli nilialikwa kwenye hiyo shoo so nilikuwepo lakini kuhusu kabinti siwezi kukumbuka labda nione picha ." Kweli nilipiga picha na mabinti wengi so sijui ni yupi , unajua nature ya kazi yangu ( utangazaji ) nakutana na watu wengi na wanapenda kupiga picha na mimi, "
Chanzo: Global