Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,687
LICHA ya kutothibitishwa juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa ndoa yake na mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ' Jide' , mtangazaji maarufu Bongo , Gardner G . Habash ' Kepteini 'amenaswa na kabinti akiwa kwenye pozi tata za kimahaba hivyo baadhi ya watu kuhoji anasaliti ndoa?

Wawili hao walionekana kuwa karibu na Benet muda wote wa tamasha lililoandaliwa na airtel kwenye ufukwe wa Coco Beach hadi mwisho na kuna muda walionekana kubadilishana vinywaji.

Gardner alipoulizwa " Ebwana ni kweli nilialikwa kwenye hiyo shoo so nilikuwepo lakini kuhusu kabinti siwezi kukumbuka labda nione picha ." Kweli nilipiga picha na mabinti wengi so sijui ni yupi , unajua nature ya kazi yangu ( utangazaji ) nakutana na watu wengi na wanapenda kupiga picha na mimi, "

Chanzo: Global
 
Baadhi ya picha hizo
 

Attachments

  • 1413006978948.jpg
    1413006978948.jpg
    63.6 KB · Views: 8,789
  • 1413006997369.jpg
    1413006997369.jpg
    57.7 KB · Views: 8,690
  • 1413007016857.jpg
    1413007016857.jpg
    58.7 KB · Views: 9,198
  • 1413007032592.jpg
    1413007032592.jpg
    58.9 KB · Views: 9,338
Uyo mtoto kama nimemuelewa hivi ila kaniangusha anakunywa savannah...wajanja hawagongi cider.
 
Hapana wangu siifahamu wala simpati uyo mtu...Ni nani uyo jamaa kwani??

kijana mmoja wa Tanga niliwahi kusoma stori yake kwenye page ya Mboni Masimba.. natamani kujua what happened to him,nikadhani waeza kua unamfaham

Nimevisit profile yake nimetaman hadi kulia.. haya maisha safari ndefu
 
kijana mmoja wa Tanga niliwahi kusoma stori yake kwenye page ya Mboni Masimba.. natamani kujua what happened to him,nikadhani waeza kua unamfaham

Nimevisit profile yake nimetaman hadi kulia.. haya maisha safari ndefu

Simfahamu kwa kweli...ngoja itabidi nimtafute basi google nimjue na mie.
 
Halafu kwenye hii shughuli na Jide alikuwepo!
Duu hakika hii si ishara nzuri kabisa kwa mtu ambaye anaweza fikiri Jide na G bado ni mke na Mume!
 
Back
Top Bottom