matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Hivi nyie huwa mnataka wapate matatizo watu Gani? Yani wasio mahandsome wapate matatizo, ila mahandsome wasipate! Hakika Bin adam mngekuwa nyie ndio mnaotoa riziki sijui ingekuwaje!!! Anyway,
Hahaha umenchekesha kwaio sura ngumu ndio inabidi zipate matatizo.