Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

gadner anaserebuka na nini wakat range rover aliyokuwa akipigia misele kwa vimada vyake analo jide? jide kafa kaoza kwa jamaa ila sasa ivi naona kaamua ajipe likizo jamaa ni pasua kichwa sana, japokuwa alikuwa hana ubavu wa kumuacha jide

Duuu hii couple ilikuwa ni ya mfano inasikitisha kuona wamefikia hatua hii!
 
anatia huruma, tatizo na yeye alizid bhana kuendekeza uchi, had wapishi na wacheza show pale nyumban lounge ye twende, khaa, ndo vile range yetu na nyumba yetu ya kule masaki ataishia kuviona kwenye dairy ya jide kila jumapil

Afadhali umerudi!!!
 
mwenzangu ndo maana kuna msemo husemao acheni mungu aitwe mungu, maana kama matatizo yangekuwa yanaenda kwa kina sie tu akina abdala marundu sijui ingekuwaje, maana apa tu tunayo ya kutosha, ila kwa kuwa sie sura zety ngumu kama t*ko la mpoto basi aaah matatizo yanaonekana kuwa ndio yetu ila wale wenye sura kama viatu vya four angle ndo hawatakiwi kuwa na matatizo, muache mungu aitwe mungu

Ha ha ha kweli Mungu ni Mungu tu hafanyagi kitu kama tunavowaza kwa kua ni handsome kila neno litaongewa wenye sura ngumu wala
 
anatia huruma, tatizo na yeye alizid bhana kuendekeza uchi, had wapishi na wacheza show pale nyumban lounge ye twende, khaa, ndo vile range yetu na nyumba yetu ya kule masaki ataishia kuviona kwenye dairy ya jide kila jumapil

Nilimuona bank mikocheni aisee kajichokeaga yani kafubaa sasa mtu ana kufadhili ana muonyeshea tabia chafu hadharani hata ka mimi na kutimua ukichangia hana chochote
 
Back
Top Bottom