Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
- Thread starter
- #121
Jina lake pls nasi tujue kilicho msibu
Anaitwa Ahmed Albaity..
Ukienda you tube utapata history yake..instagram anatumia ahmed_albaity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lake pls nasi tujue kilicho msibu
Anaitwa Ahmed Albaity..
Ukienda you tube utapata history yake..instagram anatumia ahmed_albaity
Asante
Kupenda miteremko ndo kumempoza G lakini Jide sio type ya G. Mshkaji Gentleman wa ukweli nashangaa sijui alikua anapelekana wapi na huo mkomao wa kike!!! Dah ama kwel mwanaume ukifulia unakubali kuuza hata utu wako. Jide type zake ni za wazee wenzie kama akina Mguu yule wa Msoma vijijini.
Hivi nyie huwa mnataka wapate matatizo watu Gani? Yani wasio mahandsome wapate matatizo, ila mahandsome wasipate! Hakika Bin adam mngekuwa nyie ndio mnaotoa riziki sijui ingekuwaje!!! Anyway,
Strong ruler maybe ur missing a point..., hakuna aliesema walio ma handsome wasipate matatizo, bali tulikua tunasifia uumbaji wa Allah,
Hayo matatizo tunafaham na kuelewa humpata yeyote yule..,
ALL IN ALL ni stori yenye kusikitisha mengine tunamwachia Mola
Soma historia yake nime summarize kidogo kwenye moja ya page
Kuna uhusiano gani wa hiyo story na thread hii?
Huyu naye ni Celeb?
We unaonaje?????????????????
Jibu swali, uliza swali.
Hiyo principle ni ya wapi kwamba ukiulizwa swali lazima ujibiwe????
hata kama swali halina mantiki unataka majibu???
Mbona dem mwenyewe mzee afadhali hata Jidy, kweli hii dunia ngumu sana!
Jana sijaona diary ya Lady JD.
Badala yake nimeona kipindi cha Gadna G Habash..
Je Gadna kaizika rasmi Diary ya JD.
Hata hili halina mantiki yoyote.
Hahaaa we umenichekesha maana nasikia kuna siku walikua club Gardner akaanza kukodolea wowowo la dada mmoja alikatiza kwenye meza yao Jide akachukua glass ya kinywaji na kumwagia nayo usoni... mahusiano yana kazi jaman
jide hajiamini kinyago umbo kamna kapigwa pasi ndio maana presha inapanda roho juu
Kwa nn abaki na uno pasi wakati wajanja tuna dawa za kichina za kuongeza hipps,makalio,manyonyo na kuua kabisa vitumbo kwa bei nafuu?
Kwa mwenye uhitaji nitafute PM au nipigie tu dawa mpaka mlangoni kwako malipo ni baada ya kuona matokeo within 5 days.
Wanawake wengi wa hapa mjini na walioko jf tumewasaidia sana.
hadi tupate ushuhuda kwa hao uliowasaidia.........
maana siku hizi unaweza kutumia hizo dawa unaishia kuumuka ka
nguruwe pori anaesubiri kuchinjwa