Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

Gardner G Habash Abambwa na Dogodogo

Hivi Matumbo unafaham stori ya Ahmed Albaity??
Umenifanya niingie google na kusaka habari ya huyu ndugu jamani inasikitisha mno mno. Ameenda mpaka germany lkn it was too late duh sijui mama anaumiaje tu. Mungu amponye kijana wa watu lkn anateseka si mchezo.
 
Umenifanya niingie google na kusaka habari ya huyu ndugu jamani inasikitisha mno mno. Ameenda mpaka germany lkn it was too late duh sijui mama anaumiaje tu. Mungu amponye kijana wa watu lkn anateseka si mchezo.

Amen.........., M/Mungu amponye maana stori yake ni yenye kusikitisha....,
 
Hivi nyie huwa mnataka wapate matatizo watu Gani? Yani wasio mahandsome wapate matatizo, ila mahandsome wasipate! Hakika Bin adam mngekuwa nyie ndio mnaotoa riziki sijui ingekuwaje!!! Anyway,
Nashangaa pia mkuu, naanza kuamini ule usemi wa babu yangu kuwa "wanawake wana gia moja tuu".
 
.
Gardner alipoulizwa " Ebwana ni kweli nilialikwa kwenye hiyo shoo so nilikuwepo lakini kuhusu kabinti siwezi kukumbuka labda nione picha ." Kweli nilipiga picha na mabinti wengi so sijui ni yupi , unajua nature ya kazi yangu ( utangazaji ) nakutana na watu wengi na wanapenda kupiga picha na mimi, "
[/SIZE][/FONT]
Chanzo: Global
Niliwahi kuandika Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Wanabodi,

Jee Roho za Waliokufa Zinaweza Kuwaita Walio Hai?.
Jibu ni yes, ndio maana kwa baadhi ya mila, wamama wajawazito hawaruhusiwi kwenda makaburini, ili waliolala wasije wakaviita vichanga, na matokeo yake vikaitika na kupata still born.
Kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa Soul Mates, na hii ndio subject matter ya uzi wangu huu.

Hitimisho.
Kwa vile kwa sisi binadamu wote hapa duniani tuko safari tuu, kuelekea kwenye makao ya milele na maisha ya milele, tusiwalilie waliotangulia na kuhuzunika saana kwa kuwakosa, tuhuzunike kibinaadamu, kwa kulia kwa kiasi tuu, kisha maisha ni lazima yaendelee, bali pia tujiangalie sisi wenyewe, kwa nafsi zetu, jee tumejiandaa kuitika wito wakati siku yetu na saa yetu ikitakapofika?.

Kesheni mkiomba kwa maana hamjui siku wala saa.
RIP Ephraim Kibonde na Ruge Mutahaba na wengine wote waliotangulia, nyinyi mbele sisi tuko nyuma yenu, sote sisi ni wa Kwake na Kwake tutarejea.

Paskali
Marafiki waliotangulia, wanazidi kuitana...

View: https://youtube.com/shorts/KMVmvFPjui4?si=G28gCVGn1VUc-Jbr
Rip Gardner G Habash, Kapitain!
P
 
Back
Top Bottom