TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Kwaiyo we unashauri tunywe Nini tuishi miaka 70?
 
Sure binafsi natia kambe kila ninapo pata nafasi napiga mazoezi ,tukikutana hata nikisema nakunywa pombe hauwezi kuamini .
 
Mada nyeti sana hii, tatizo ukiwaambia ukweli wanahisi unawanyanyasa na kuingilia utu wao, hawapendi haya maongezi.
 
Ni kweli kabisa unachokisema ila pombe sio sababu ya kifo tatzo ni nidhamu yako kuielekea pombe ila sio useme tusinywe pombe.
 
Wanalewa kwa sababu ya hali ya hewa ya baridi kali. Wanafika miaka 70-80 haswa wale wenye nidhamu ya maisha.

Ulevi unakwenda pamoja na ukosefu wa nidhamu binafsi.
Unaposema ulevi unalenga mambo mengi sana sio pombe pekee, apo tatzo sio pombe tatzo ni ulevi ata ukiwa mlevi wa simu , mlevi wa wanawake/wanaume, mlevi wa soda , mlevi wa injili( makenzie kenya) vyote huleta shida , apo tatizo sio kunywa pombe tatzo ni tabia zako za tamaa ya pombe kupitiliza uwezo wako.
 
Alisema hivi sina tatizo na huyo mtoto wa kike,nimemkojoza zaidi ya miaka 15
 
Kifo hakina uhusiano wowote na umri, kuna vichanga vinakufa hata Dunia yenyewe havijaijua, kuna watoto wanazaliwa na type 1 diabetes,!!
Ukiona unadunda mitaani huku ukiipata umri ni bahati sio uhodari!
 
Humu Msijali kuhusu kufa kwa Figo..
Wengi kwa sababu ni majuha, mtakufa vifo vya aibu na kimaskini kama
Kipigo cha kufumaniwa, kula chakula chenye sumu msibani, Pressure ya Vikoba, kuzidisha Viagra, Magonjwa ya Zinaa na punyeto, kuzama coco Beach

Ukifa kwa pombe labda ulewe ulanzi ulale nje fisi waje wakubebe....

Haina haja ya kufura, Badilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…