TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Tutaheshimiana tuWalevi acheni kulia lia
Endeleeni kujidunga mibia na mikonyagi
Viwanda vipo bado vinawahitaji
Dadeki
Tusiokunywa tunaitwa walevi sasa
Umbeya ni janga siku hizi hadi mashogamboga mmekua magwiji