TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Kuna kule zambia na Malawi wanaoga na pombe kabisa, kuna pombe moja ya Malawi niliinusa tu nikalewa yani inafungua mpaka mishipa ya ufahamu ndani ya kichwa kwa kuinusa tu.
🤣🤣 oa nasikia kwa afrika nchi zinazokula kamnyweso zambia na south africa ni balaa wale watu hawanywi bali wanaoga unaambiwa kila siku bar zinajaa inabidi watu wasimame nje wakila mitungi kwenye bonet za magari yao hiyo ni 24/7 sio huku mpaka weekend tuu bar ndio zinajaa.
 
Kafa kanumba ,kafa Samuel sedekia,kafa sajuki, kafa Sharon milionea , kafa Sam wa ukweli ila hizi kelele za pombe hatukuzisikia leo kafa mwamba mwenetu kabisa pombe inasagiwa kunguni .
Si unajua Tena Leo ni siku ya wasabato! Halafu,wengine ni wivu wengine pesa ya kula hawana wakiona watu wanapiga ngano wanakosa la kusema
 
Bongo hawanywi pombe kabisa tatzo letu misosi duni ndio maana unaona mtu anakunywa tu kidgo mabega yanaanza kupanda.
 
RIP

Baada ya kazi tutavishwa taji, japo msiba huu umenipa tafakuri kuhusu kuutofautosha MUDA na NYAKATI

Muda wa captain
Nyakati za captain

Zote zimefanana Alipoumwa watu walimjadili kwa matendo yake na tayari hayupo Ila bado watu wanajadili upande wake hasi.


See you again
 
Umenikumbusha pande za Moshi Kuna mwamba mmoja alikua anaitwa fipe hili jina tulimuita fipe kwasababu alikua akitukuta bar anasema fipe filewe fikalale alafu mwamba anaosha Benz lake na kreti ya bia🤣
 
Umeandika kitu cha hisia sana. Kituo chake cha kazi kabla ya clouds ilikuwa ni Mwanza, Mwanza kama sikosei alitokea kwenye duka la vinywaji au CD za muziki. Hii alieleza mwenyewe.

Nadhani alikuwa ni mtu poa sana kwa watu. Alafu humble sana.
 
Bongo hawanywi pombe kabisa tatzo letu misosi duni ndio maana unaona mtu anakunywa tu kidgo mabega yanaanza kupanda.
Si ndio mno mtu anakunywa mapombe machafu mabanana miksa visungura Hana kazi ya maana msosi ni ugali dagaa na masupu ya miguu ya ng'ombe,kazi ngumu Hana bima ya afya madeni Kila mahali ngono daily
Akisimama unaweza sema shati limetupiwa msalabani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…