TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

George bantu ni kijana mdogo sana ila sura na mwili wake umeshaanza kuchoka sijui kwa nn hawajifunzi kuna siku alikesha baa mpaka asubuh akaenda kulala clouds ofisini ili kipindi cha jahazi kikianza wamuamshe na aliona ni kawaida tu.
Duh
Hio ofisi sasa inabidi wawe wanapeana counseling
 
Nimekuelewa sana ,nashangaa wengi wanasingiza pombe,lakini waamesahau pia kuna gita la umeme.
 
George bantu ni kijana mdogo sana ila sura na mwili wake umeshaanza kuchoka sijui kwa nn hawajifunzi kuna siku alikesha baa mpaka asubuh akaenda kulala clouds ofisini ili kipindi cha jahazi kikianza wamuamshe na aliona ni kawaida tu.
Tulishawaambia waache pombe wanajifanya wazee wa Mjini,wameshakata tamaa hao wote

Na watanyooka wasipobadilika
 
Ana wake wawili,bi mdogo ni dada wa mjini anaitwa Sofia Byanaku,na unaambiwa ni tongoza tongoza mashemeji wa dada wa mjini balaa anaogopa Figo na ini tu Kaswende haogopi yule😁
Hapa ndio Jf bhana 😄😁 mastori kama haya huwezi kupata kwenye gazeti la mwananchi 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Mkuu! Wanatumia ila hazina vilevi vya maabara ambao ni full chemical , wachaga wanakunywa pombe zao za asili na wanaishi mpaka miaka 110 na kuendele tena wengi.

Ila hizi za kuletwa na wazungu ni hatari sana...Ukitumia miaka 20 mfululizo jiandae ..
Hata kugonga hawawezi mpaka wanawake wanavuka Kenya kwenda kupata huduma
 
Kunywa kistaarabu ni muhimu
Hakika mkuu,
Naamini katika kiasi, iwe kula, kunywa na chochote mtu anachofanya, lazima tuwe na kiasi. Hata ngono ikizidi kiasi ni hasara kwa mwili, ukiwa mlafi kuna hatari ya kupata maradhi yasiyoambukiza.

Temperance!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…