TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Kuna wanawake ni vichomi Gardner alimuacha mkewe akamvamia huyu Jaydee. Wakalala chumba kimoja na Ruge huko South Africa kama sikosei kisha wakasema nothing happened licha ya kukiri kulala chumba kimoja!
Wangapi walilala chumba kimoja mkuu?
 
Mnakunywa mapombe machafu huko .
 
Clouds kuna stress au ni vipi, mbona wote wanasifiwa kwa ulevi?
 
Oya we tuache. Yesu si alishakufa msalabani kwa ajili ya dhambi na wokovu wetu, sisi tuna dhambi gani?
Nyie walokole mna kawaida ya kuwaona wengine wote wakosevu, wakati maandiko yanasema kuingia mbinguni ni rehema zake tu mwenyewe Mungu. Utapeli wote unaofanywa kwa kupitia dini siku hizi unataka kusema wale wote wanahubiri injili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…