TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Kuna wanawake ni vichomi Gardner alimuacha mkewe akamvamia huyu Jaydee. Wakalala chumba kimoja na Ruge huko South Africa kama sikosei kisha wakasema nothing happened licha ya kukiri kulala chumba kimoja!
Wangapi walilala chumba kimoja mkuu?
 
Mkuu we achana nao, mimi haya mavitu siyatamani kabsaa, yalichomfanya mzee wangu 2times kidg tumpteze, mara ya kwnz mwez wa 8 mwak jnn ini lilikuwa limeshaanza kupata kovu bila kujua, ila tulikuj kushtukia mtu ananepepa ovyo na ni mtu wa pombe, MUNGU mkubwa aliwahiwa akapewa dawa akawa fit, ila majuzi hapa tuna kam wiki, mzee alikua kazin as afisa wa zamu (jwtz) sas akawa analala huko huko, night c akala konyag asubh anaamka anavuja jasho, ndio lidg maaskar wenzake wakampelek hosptal haraka, aisee wale walishindwa maana wakatak wampe referal kwend hospital kubwa, ila kbla hajaandikiwa ni kama MUNGU daktr mmja iv akaamua amchome sindano ya kupandisha sukari, kumbe bwana ilikuw imeshuka had moja, yaan within 1 hour kama daktr asingejiongeza kupndish sukari, leo hii tusingekuwa nae. MUNGU tu katusaidia ni muujiza huu, saiv yuko poa na msosi anapiga fresh pombe hajagusa kbsaa.
Mnakunywa mapombe machafu huko .
 
George Bantu, huyu naye kwa muonekano ni mgonjwa, wanatangaza kipindi kimoja, mwingine simkumbuki, ila alikuwa na kipindi cha mambo ya uswazi, nadhani anaitwa Mussa, wote walevi wa kutupwa.

May be Wasafi wampe angalizo Edo Kumwembe, anaingia kwenye kipindi akiwa mlevi kabisa mpaka sura yake imeshachakaa
Clouds kuna stress au ni vipi, mbona wote wanasifiwa kwa ulevi?
 
watu mnajifariji sana na kuwasema wengine, bila kujua na ninyi mpo vulnarable mno na kifo, uzima wenu upo wapi? nani anashikilia uzima wenu? Mpeni Yesu Maisha yenu ili mkifa mfe katika Bwana mwende mbinguni na mkiishi muishi katika Bwana. ogopeni moto wa jehanum milele kuliko hata kifo cha mwili. imagine, miaka yote ile Gadner alikuwa anaishi, anatangaza, amesikia injili ya Yesu, sijui atakuwa aliokoka kabla ya kufa? kama hakuokoka atakuwa na udhuru gani, maisha ya duniani ndio yameenda hivyo, huko alikoenda kama hakuandaa moyo wake ni majuto.

hii itufundishe sisi ambao bado tunapumua, tutengeneza maisha yetu ya umilele. ni kwa njia ya KUmkiri Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako, na uokoke upate uzima wa milele. kwa Tanzania hii, hakuna mtu ambaye hajui maana ya kuokoka, kila mtu anaelewa, that means hakuna atakayetoa udhuru siku ile kwamba hakusikia injili. hata mnaopinga wokovu mnaujua kabisa ila mnashupaza shingo zenu. amua leo, mpokee Yesu ili ujihakikishie maisha mema milele. Mungu awasaidie.
Oya we tuache. Yesu si alishakufa msalabani kwa ajili ya dhambi na wokovu wetu, sisi tuna dhambi gani?
Nyie walokole mna kawaida ya kuwaona wengine wote wakosevu, wakati maandiko yanasema kuingia mbinguni ni rehema zake tu mwenyewe Mungu. Utapeli wote unaofanywa kwa kupitia dini siku hizi unataka kusema wale wote wanahubiri injili?
 
Back
Top Bottom