Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
mzee ramadhan ni mtaalam wa nyota biashara mali bira kafara mausiano cheo nk 0682022727. WAtoto wa mjini haoTunaoijua vyema hiyo Ofisi yao na kinachowakumba hasa tokea wakiwa kule Kitega Uchumi wala hatushangazwi na Vifo vya hawa Watajwa wako watatu. Tujitahidi sana Kuutumia huu Umaarufu wetu vizuri na ikiwezekana Watu wajitahidi Kuukataa kwani una Athari zake nyingi sana.
Ngoja nitafute nyimbo za Wakongo hasa zile ambazo Gitaa la Solo limepigwa na Mwamba Dally Kimoko niburudike zangu.
Inaweza kuonekana kama tunawasimanga sana wakata maji lakini tunakumbushana kufanya mambo kwa kiasi......sio tu pombe hata soda tunazokunywa ni makaburi yetu.....
Ila ki uhalisia afya zao si huwa unaziona!?wale wengi huwa wanakata moto kwenye age hizo hizo za 50 tena wakiwa hoi ki afya pombe si nzuri ikizidiKuna kitu huwaga nawaza na sipati majibu kuna wazee wa UBANDA HUWAGA wanakunywa maisha yao yote tena siyo bia ni mwendo wa Gongo Chang’aa Wanzuki na Mataputapu na hiyo ni tokea naanza kupata ufahamu wangu hadi leo hii bado nawaona wanaburudisha nafsi zao lakini huwakuti kuumwa wala kupata magonjwa kama hayo hapo ndio huwa naamini mungu yupo na anafanya miujiza.
Niko poa Rafiki, nasikitikika nimepoteza brother captain G habashUko poa?
Tanzania nchi yangu. Wananchi wanaangamia kwa kukosa elimu. Elimu yetu nadhani ndiyo elimu duni dunia nzima.Kuna kitu huwaga nawaza na sipati majibu kuna wazee wa UBANDA HUWAGA wanakunywa maisha yao yote tena siyo bia ni mwendo wa Gongo Chang’aa Wanzuki na Mataputapu na hiyo ni tokea naanza kupata ufahamu wangu hadi leo hii bado nawaona wanaburudisha nafsi zao lakini huwakuti kuumwa wala kupata magonjwa kama hayo hapo ndio huwa naamini mungu yupo na anafanya miujiza.
Pole sana aisee,,,Jana sijakuona kwenye Uzi moyoni nikasema lazima msiba umekugusa Kwa ukaribuNiko poa Rafiki, nasikitikika nimepoteza brother captain G habash
Nimechangia juu huko, msiba umenigusa kweli..huyu anakua brother from another mother wa tatu kupotea..Stve B, kibonde na sasa Captain GPole sana aisee,,,Jana sijakuona kwenye Uzi moyoni nikasema lazima msiba umekugusa Kwa ukaribu
Wanadamu tunapenda kuwahukumu watu kwa utashi na mitazamo yetu lakini Mungu ndie ajuaye..........Kuna kitu huwaga nawaza na sipati majibu kuna wazee wa UBANDA HUWAGA wanakunywa maisha yao yote tena siyo bia ni mwendo wa Gongo Chang’aa Wanzuki na Mataputapu na hiyo ni tokea naanza kupata ufahamu wangu hadi leo hii bado nawaona wanaburudisha nafsi zao lakini huwakuti kuumwa wala kupata magonjwa kama hayo hapo ndio huwa naamini mungu yupo na anafanya miujiza.
Aisee poleni sana.kazi ya Mungu Haina makosa,Anko G amewachia mtoto na mjukuu mjukuu mumuangalie Kwa makiniNimechangia juu huko, msiba umenigusa kweli..huyu anakua brother from another mother wa tatu kupotea..Stve B, kibonde na sasa Captain G
Hahahahaha , sawa sawa tutawaangalia usihofuAisee poleni sana.kazi ya Mungu Haina makosa,Anko G amewachia mtoto na mjukuu mjukuu mumuangalie Kwa makini
Kuna wapuuzi wanajionaga wao hawatakufa au waliokufa ni uzembe wao.Bila kujua kua kila mtu ataondoka kwa muda wake nakwasababu yake.Wanadamu tunapenda kuwahukumu watu kwa utashi na mitazamo yetu lakini Mungu ndie ajuaye..........
Kuna namna abavyo miili yetu ina adapt mazingira magumu tunayopitia na kuamua kutupambania ili kurefusha uhai mpaka pale muumba atakapoamua kutuchukua...........
Mfano wa tofali linalopigwa na jua na mvus kwa muda mrefu kuzidi kuwa imara.......
Mimi huwa naamini kuwa tunaishi kwa kusudi na mapenzi ya Mungu na sio kwa juhudi zetu........
Yatakapokwisha mapenzi na makusudi ya Mungu ndio mwisho wako......haijalishi ulikuwa unazingatia afya kiasi gani
Haya mambo hayana formula.Wanadamu tunapenda kuwahukumu watu kwa utashi na mitazamo yetu lakini Mungu ndie ajuaye..........
Kuna namna abavyo miili yetu ina adapt mazingira magumu tunayopitia na kuamua kutupambania ili kurefusha uhai mpaka pale muumba atakapoamua kutuchukua...........
Mfano wa tofali linalopigwa na jua na mvus kwa muda mrefu kuzidi kuwa imara.......
Mimi huwa naamini kuwa tunaishi kwa kusudi na mapenzi ya Mungu na sio kwa juhudi zetu........
Yatakapokwisha mapenzi na makusudi ya Mungu ndio mwisho wako......haijalishi ulikuwa unazingatia afya kiasi gani
🎸🎸🎸 dally kimoko MTU WA MAANA KABISA HUYU 😂 ana pini lake mwenyewe la kuitwa "mahele" vumbi lililotimka humu sio la kitoto itafute utakuja kunishukuru baadae......pia tafuta nyimbo ambazo mpiga gitaa 🎸🎸🎸alikuwa marehemu nene tchakou huyu bwana alikuwa anajua halafu anajua tena mfano ni ule wimbo maarufu wa kanda bongoman MUCHANA yeye ndo kaburuza mpini 🎸🎸mule mwanzo mwishoTunaoijua vyema hiyo Ofisi yao na kinachowakumba hasa tokea wakiwa kule Kitega Uchumi wala hatushangazwi na Vifo vya hawa Watajwa wako watatu. Tujitahidi sana Kuutumia huu Umaarufu wetu vizuri na ikiwezekana Watu wajitahidi Kuukataa kwani una Athari zake nyingi sana.
Ngoja nitafute nyimbo za Wakongo hasa zile ambazo Gitaa la Solo limepigwa na Mwamba Dally Kimoko niburudike zangu.
Kinachoua ni kifo.Hivyo vingine ni sababu ya kifo.kila kifo lazima kiwe na sababu.Tatizo letu tunaacha kulaumu kifo tunalaumu sababu.Huyo ndugu yako asingekunywa angekufaje sasa wakati ilikua lazima kuwe na sababu yayeye kufa.apumzike kwa amani.Pombe inaua tulimpotezaga ndugu yetu sababu ya kunywa Sana pombe ikaleta shida kwenye Figo Na ini
😅😅😅UnachekaHahahahaha , sawa sawa tutawaangalia usihofu
alikufa kwa ajili ya dhambi za wanadamu ili kila amwaminiye asipotee, haimaanishi kwamba yeye alishakufa kwahiyo hata ukitenda dhambi leo au kesho hautahukumiwa adhabu inaenda kwa Yesu. mnajidanganya, na hii ndiyo injili anayohubiri mzee wa neema wale wanaosapoti ushoga na wamefungiwa kanisa.ndio ilikuwa theme yao kwamba kwasababu Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi basi hata ushoga fanya tu.Oya we tuache. Yesu si alishakufa msalabani kwa ajili ya dhambi na wokovu wetu, sisi tuna dhambi gani?
Nyie walokole mna kawaida ya kuwaona wengine wote wakosevu, wakati maandiko yanasema kuingia mbinguni ni rehema zake tu mwenyewe Mungu. Utapeli wote unaofanywa kwa kupitia dini siku hizi unataka kusema wale wote wanahubiri injili?
Nani aliwahi kuongeza ata sekunde ya uhai wake?.Ukiona hujafa jua hakijafika,kifo kikifika hakuna namna lazima ufe.Na hakuna kiumbe anayeweza kupambana na sababu itakayosababisha kifo chake.mengine ni mbwembwe tu za binadamu.Kuna mambo mengine siyo ku generalise kwa sentensi hii. Nani anadhani ataishi milele kwani?
Tunasema tunayosema ili iwe fundisho kwa wengine. Kama unaweza ku avoid ile life style inaweza kukuongezea japo siku moja ya kuishi
Ikiuma semaPunga babako
50 ni predicted lifespan yetu waafrika kama. Unajishughulisha na shughuli za kutafuta rizki!, 60 ni bonus.Ila ki uhalisia afya zao si huwa unaziona!?wale wengi huwa wanakata moto kwenye age hizo hizo za 50 tena wakiwa hoi ki afya pombe si nzuri ikizidi
Kiasi pendekezwa eg kwa wine ni glass Moja tu sa unakuta mtu anakunywa chupa hata mbili au tatu.
Anyway wote ni wa mola na kwake tutarejea