TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Tunaoijua vyema hiyo Ofisi yao na kinachowakumba hasa tokea wakiwa kule Kitega Uchumi wala hatushangazwi na Vifo vya hawa Watajwa wako watatu. Tujitahidi sana Kuutumia huu Umaarufu wetu vizuri na ikiwezekana Watu wajitahidi Kuukataa kwani una Athari zake nyingi sana.

Ngoja nitafute nyimbo za Wakongo hasa zile ambazo Gitaa la Solo limepigwa na Mwamba Dally Kimoko niburudike zangu.
mzee ramadhan ni mtaalam wa nyota biashara mali bira kafara mausiano cheo nk 0682022727. WAtoto wa mjini hao
 
Inaweza kuonekana kama tunawasimanga sana wakata maji lakini tunakumbushana kufanya mambo kwa kiasi......sio tu pombe hata soda tunazokunywa ni makaburi yetu.....

Kuna kitu huwaga nawaza na sipati majibu kuna wazee wa UBANDA HUWAGA wanakunywa maisha yao yote tena siyo bia ni mwendo wa Gongo Chang’aa Wanzuki na Mataputapu na hiyo ni tokea naanza kupata ufahamu wangu hadi leo hii bado nawaona wanaburudisha nafsi zao lakini huwakuti kuumwa wala kupata magonjwa kama hayo hapo ndio huwa naamini mungu yupo na anafanya miujiza.
 
Ila ki uhalisia afya zao si huwa unaziona!?wale wengi huwa wanakata moto kwenye age hizo hizo za 50 tena wakiwa hoi ki afya pombe si nzuri ikizidi
Kiasi pendekezwa eg kwa wine ni glass Moja tu sa unakuta mtu anakunywa chupa hata mbili au tatu.
Anyway wote ni wa mola na kwake tutarejea
 
Tanzania nchi yangu. Wananchi wanaangamia kwa kukosa elimu. Elimu yetu nadhani ndiyo elimu duni dunia nzima.
Kawaida pombe siyo nzuri kiafya, hasa kunywa pombe nyingi. Huu ni utafiti umefanywa siku nyingi na watu wengi. lakini hii haimaanishi kuwa kila anayekunywa pombe ataathirika kiafya. Na pia haimaanishi kila asiyekunywa pombe atasalimika kiafya. Hapa tunazungumzia chances za kuathirika! Na jingine: kufeli figo siyo lazima chanzo chake kiwe pombe hata kama mtu alikuwa mnywaji. Kuna magonjwa ya aina nyingi na sababu za aina nyingi zinazoweza kusababisha figo kuugua. Kwa kifupi kuunganisha kifo cha huyu jamaa na unywaji pombe ni ujinga uliopitiliza bila kujua ni nini kilifanya augue figo. Na kwa upande mwingine, kusema kuna watu unawafahamu wanakunywa pombe kwa wingi lakini hawana matatizo nako hakumaanishi kuwa pombe nyingi haina madhara.
 
Kuna kitu huwaga nawaza na sipati majibu kuna wazee wa UBANDA HUWAGA wanakunywa maisha yao yote tena siyo bia ni mwendo wa Gongo Chang’aa Wanzuki na Mataputapu na hiyo ni tokea naanza kupata ufahamu wangu hadi leo hii bado nawaona wanaburudisha nafsi zao lakini huwakuti kuumwa wala kupata magonjwa kama hayo hapo ndio huwa naamini mungu yupo na anafanya miujiza.
Wanadamu tunapenda kuwahukumu watu kwa utashi na mitazamo yetu lakini Mungu ndie ajuaye..........

Kuna namna abavyo miili yetu ina adapt mazingira magumu tunayopitia na kuamua kutupambania ili kurefusha uhai mpaka pale muumba atakapoamua kutuchukua...........

Mfano wa tofali linalopigwa na jua na mvus kwa muda mrefu kuzidi kuwa imara.......

Mimi huwa naamini kuwa tunaishi kwa kusudi na mapenzi ya Mungu na sio kwa juhudi zetu........

Yatakapokwisha mapenzi na makusudi ya Mungu ndio mwisho wako......haijalishi ulikuwa unazingatia afya kiasi gani
 
Kuna wapuuzi wanajionaga wao hawatakufa au waliokufa ni uzembe wao.Bila kujua kua kila mtu ataondoka kwa muda wake nakwasababu yake.
 
Wanadamu tunapenda kuwahukumu watu kwa utashi na mitazamo yetu lakini Mungu ndie ajuaye..........

Kuna namna abavyo miili yetu ina adapt mazingira magumu tunayopitia na kuamua kutupambania ili kurefusha uhai mpaka pale muumba atakapoamua kutuchukua...........

Mfano wa tofali linalopigwa na jua na mvus kwa muda mrefu kuzidi kuwa imara.......

Mimi huwa naamini kuwa tunaishi kwa kusudi na mapenzi ya Mungu na sio kwa juhudi zetu........

Yatakapokwisha mapenzi na makusudi ya Mungu ndio mwisho wako......haijalishi ulikuwa unazingatia afya kiasi gani
Haya mambo hayana formula.
Kila mtu na mwili wake na namna unavyoreact ni tofauti. Kuna mtu akinywa au kuvuta kidogo tu tunamzika. Na kuna wengine wanazeeka walevi wakudumu.

Kuna mzee 1 mtaani anasema ameanza kuvuta sigara 1960, yeye amezaliwa 1939 kwa sasa ana miaka 85. Mzee anavuta sigara pakti 1 na nusu mpaka 2 kwa siku, ni chain smoker kweli kweli na ni mzima. Anatembea mwenyewe na bado anaonekana yuko fit.

Nakuunga mkono, tunaishi kwa rehema zake Mola tu. Kuwa shujaa sana wa mazoezi au kuacha kunywa/kuvuta sio guarantee ya kuishi maisha marefu.

Tuombe mwisho mwema.
 
Tunaoijua vyema hiyo Ofisi yao na kinachowakumba hasa tokea wakiwa kule Kitega Uchumi wala hatushangazwi na Vifo vya hawa Watajwa wako watatu. Tujitahidi sana Kuutumia huu Umaarufu wetu vizuri na ikiwezekana Watu wajitahidi Kuukataa kwani una Athari zake nyingi sana.

Ngoja nitafute nyimbo za Wakongo hasa zile ambazo Gitaa la Solo limepigwa na Mwamba Dally Kimoko niburudike zangu.
🎸🎸🎸 dally kimoko MTU WA MAANA KABISA HUYU 😂 ana pini lake mwenyewe la kuitwa "mahele" vumbi lililotimka humu sio la kitoto itafute utakuja kunishukuru baadae......pia tafuta nyimbo ambazo mpiga gitaa 🎸🎸🎸alikuwa marehemu nene tchakou huyu bwana alikuwa anajua halafu anajua tena mfano ni ule wimbo maarufu wa kanda bongoman MUCHANA yeye ndo kaburuza mpini 🎸🎸mule mwanzo mwisho
 
Pombe inaua tulimpotezaga ndugu yetu sababu ya kunywa Sana pombe ikaleta shida kwenye Figo Na ini
Kinachoua ni kifo.Hivyo vingine ni sababu ya kifo.kila kifo lazima kiwe na sababu.Tatizo letu tunaacha kulaumu kifo tunalaumu sababu.Huyo ndugu yako asingekunywa angekufaje sasa wakati ilikua lazima kuwe na sababu yayeye kufa.apumzike kwa amani.
 
Oya we tuache. Yesu si alishakufa msalabani kwa ajili ya dhambi na wokovu wetu, sisi tuna dhambi gani?
Nyie walokole mna kawaida ya kuwaona wengine wote wakosevu, wakati maandiko yanasema kuingia mbinguni ni rehema zake tu mwenyewe Mungu. Utapeli wote unaofanywa kwa kupitia dini siku hizi unataka kusema wale wote wanahubiri injili?
alikufa kwa ajili ya dhambi za wanadamu ili kila amwaminiye asipotee, haimaanishi kwamba yeye alishakufa kwahiyo hata ukitenda dhambi leo au kesho hautahukumiwa adhabu inaenda kwa Yesu. mnajidanganya, na hii ndiyo injili anayohubiri mzee wa neema wale wanaosapoti ushoga na wamefungiwa kanisa.ndio ilikuwa theme yao kwamba kwasababu Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi basi hata ushoga fanya tu.
ishi ukijua una wajibu wa kutenda mema ama la utaenda motoni.

WAGALATIA 6:7 INASEMA: 7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. 8Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele. 9Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. 10Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio.
jua leo wewe na mzee wa neema na mkewe grace vipodozi kwamba, sio kwamba neema ipo hivyo tutende tu dhambi kwasababu adhabu ni ya Yesu, NO, utaondolewa dhambi kwa kuzitubia kwake na kuziacha. pia Mungu hadhihakiwi. pia, neema ya Mungu inatutaka tuache chambi.
TITO 2:11 INASEMA: Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; 12nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa; 13tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; 14ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wawe milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema.

Moyo wangu umepokea sana huu mstari, Mungu anataka tukaishi kwa kiasi, haki, na tuishi kwa utauwa yaani ucha Mungu, huku tukilitazamia/tukilisubiria tumaini lenye baraka ambalo ni la ujio wa Yesu Kristo au thawabu ile tuliyowekewa kwa kutenda mema. tukihubiri hivi mnatutukana kwamba walokole hua tunajiona wasafi na hampendi kurekebishwa ati tunawaona ninyi wachafu, basi acheni kubishana na sisi, bishaneni na vifungu hivyo, laumuni vifungu hivyo vya Biblia, mwulizeni Mungu kwanini vipo.

NB: hayo mafundisho yenu ya mashetani mnapotosha watu, adhabu yenu itakuwepo siku ya mwisho.
 
Kuna mambo mengine siyo ku generalise kwa sentensi hii. Nani anadhani ataishi milele kwani?

Tunasema tunayosema ili iwe fundisho kwa wengine. Kama unaweza ku avoid ile life style inaweza kukuongezea japo siku moja ya kuishi
Nani aliwahi kuongeza ata sekunde ya uhai wake?.Ukiona hujafa jua hakijafika,kifo kikifika hakuna namna lazima ufe.Na hakuna kiumbe anayeweza kupambana na sababu itakayosababisha kifo chake.mengine ni mbwembwe tu za binadamu.
 
Ila ki uhalisia afya zao si huwa unaziona!?wale wengi huwa wanakata moto kwenye age hizo hizo za 50 tena wakiwa hoi ki afya pombe si nzuri ikizidi
Kiasi pendekezwa eg kwa wine ni glass Moja tu sa unakuta mtu anakunywa chupa hata mbili au tatu.
Anyway wote ni wa mola na kwake tutarejea
50 ni predicted lifespan yetu waafrika kama. Unajishughulisha na shughuli za kutafuta rizki!, 60 ni bonus.
Hii ni Zaidi kwa wanaume wanawake kidogo wanaeza enda hadi 65
 
Back
Top Bottom