TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Hakika ndugu yangu 🙏🙏🙏
 
Nani aliwahi kuongeza ata sekunde ya uhai wake?.Ukiona hujafa jua hakijafika,kifo kikifika hakuna namna lazima ufe.Na hakuna kiumbe anayeweza kupambana na sababu itakayosababisha kifo chake.mengine ni mbwembwe tu za binadamu.
Siyo kweli. Kuna vitu mnavichukulia kirahisi. Yaani wewe uambiwe huyu malaya ana HIV halafu uende kulala naye bila condom kwa vile Mungu anajuwa siku yako?

Au kibaka aende barabara ya Congo pale Kariakoo aibe tu kwa sababu Mungu anajuwa siku yake ya kufa!!

Uingie tu kwenye mafuriko ya Rufiji kwa vile Mungu anajua siku yako ya kufa.

Acheni kumsingizia Mungu kwa vitu vya uzembe wenu. If you are careful you can live longer
 
Huyu kufa sishangai wala sishtuki, Ulevi uliopitiliza mpaka sura ikawa ya kilevi, Mwingine TID pombe mbaya, Ukishakua na sura ya kilevi jua umeshachakaa.

vijana waelewe
 
Sasa kulikua na haja gani ya Yesu kufa msalabani kama bado tunapata dhambi?
Yeye ametufutia dhambi zipi?
........kila amwaminiye atapata uzima wa milele. Sasa mimi namuamini kwahiyo nna uzima wa milele, dhambi zinatoka wapi wakati Yesu alishatukatia bima ya dhambi?
 
Huyo Gadner kwa kumuangalia tu sio pombe zilizosababisha maradhi yaliyopelekea kifo chake,kwa kifupi jamaa alikua na dalili zote za mtu mwenye umeme.acheni kusingizia pombe

Ni kazeze ,ni kazeze ,ni kazeze.

Inasikitisha sana Jasiri Muongoza njia si alipita na Jide? Jide -> Captain.

Kwa Mabronzo,masista du,machizi,wazazi ,walimu na wanafunzi.


View: https://www.youtube.com/watch?v=yl7KSdlAciY
CC Maghayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…