TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Endeleeni kunywa pombe kupitiliza..!


Jitahidi uwe unaelewa 'Context' Muktadha mahali unapobidi kuongea jambo fulani .

Usiwe Judgmental.

Matatizo Kama Alcoholic Au Ulevi ukiingia huko sio rahisi kutoka Kama unavyodhani .

Kuna swala la desire(matamanio) na imagination ( fikra ya MTU kichwani)

MTU yeyote unayemuona ameathirika na pombe kufika hatua ya kuwa Alcoholic , unabidi kujua yeye binafsi huwa anatamani kuacha pombe au hata kupunguza ( desire) Ila tayari fikra yake (imagination) inakua imeshajitengenezea hiyo hali.

That's why ni ngumu kumkuta MTU anayekunywa pombe Sana , kupenda na mtoto wake anywe pombe.


Hivyo ukielewa haya mambo utaelewa hata huyo marehemu captain alikuwa katika vita hipi.


Hizi hukumu za kuwahukumu watu nikutokuwa na ufahamu wa kutosha tu.
 
Back
Top Bottom