TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Hawa wanywa soda wanafki mno babu yangu anakunywa gongo na anamiaka 98 sa hii. Na BP yake inachezea 120/80 mpka 130/ 83.
Na hao hao wanywa soda wanafki life likiwa tight sana kwako huwa unaenda kwao kuwaomba wakupige tafu kifedha, ila hapa huwajui kabisa, hizi fake IDs hizi bhana [emoji848][emoji851]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.

Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).

Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein

Wasafi Media

View attachment 2968923

Pia soma
- Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu
Kapiteni ataungana na Kibonde kwenye Safina, ila wanamhitaji hostesi.
Poleni wafiwa.
 
Loh! RIP. This kind of lifestyle is so problematic. Pombe, nyama, magari, starehe, vitakula vichwa vingi sana vya vijana/watu wa

Loh! RIP. This kind of lifestyle is so problematic. Pombe, nyama, magari, starehe, vitakula vichwa vingi sana vya vijana/watu wazima
You are talking as if you are going to live forever. Be humble cos nobody will live forever!
 
Back
Top Bottom