Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikipata Muda Nitakucheck PMMkuu uliingia kwenye mambo gani ambayo yalifanya uachane na pombe ..maana nimejaribu kuacha zaidi ya Mara 100 nakaa wiki narudi kwa kasi
Na hao hao wanywa soda wanafki life likiwa tight sana kwako huwa unaenda kwao kuwaomba wakupige tafu kifedha, ila hapa huwajui kabisa, hizi fake IDs hizi bhana [emoji848][emoji851]Hawa wanywa soda wanafki mno babu yangu anakunywa gongo na anamiaka 98 sa hii. Na BP yake inachezea 120/80 mpka 130/ 83.
Yani vijembe vilikua viiiingi, mwamba akamjibu mara moja ikawa nongwaI think Ni baada ya Ile Nyimbo ya Yahya na Ndindindi
[emoji122]Nikipata Muda Nitakucheck PM
Dah So sad R.I.E.P
Poaah nambie!!Cocastic mambo vp?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMimi hunijui pyeeeeeee
Kapiteni ataungana na Kibonde kwenye Safina, ila wanamhitaji hostesi.Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).
Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein
Wasafi Media
View attachment 2968923
Pia soma
- Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu
Loh! RIP. This kind of lifestyle is so problematic. Pombe, nyama, magari, starehe, vitakula vichwa vingi sana vya vijana/watu wa
You are talking as if you are going to live forever. Be humble cos nobody will live forever!Loh! RIP. This kind of lifestyle is so problematic. Pombe, nyama, magari, starehe, vitakula vichwa vingi sana vya vijana/watu wazima
OK Sawa Sawa mkuu. 🤝🤝Wame update uzi mwanzoni hikuwa imeandikwa
Tatizo hizi za viwandani, full chemicals, gongo natural, sasa mtu anasukumiza Kvant anashushia kwa chips za buku.Hawa wanywa soda wanafki mno babu yangu anakunywa gongo na anamiaka 98 sa hii. Na BP yake inachezea 120/80 mpka 130/ 83.