Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very interesting story MkuuMara kwanza kumuona Gardner ilikuwa miaka ya 90, alikuja Kahama Mining kwenye kampuni ya Tanzoro Diomond Drilling kama Accountant akitokea Mwanza ,akatukuta pale wazee wa drilling rigs.
Alikuwa kijana mtanashati checkibobu, aliletwa pale na mke wa mmiliki wa wa kampuni, alikuwa mcanada Mzee Georgre Graham.
Mara tunaona pilika zake na mke wa bosi zimezidi, kumbe tukaja kujua ni tokea zamani, yule mzee wa canada alikuwa analiwa hela tu na yule demu.
Yule demu alikuwa na mpango wake wa kuleta ndugu zake pale, basi hata hatukudumu, akatutengenezea gozi mpaka tukafukuzwa kazi, lakini nakumbuka Gadner ndio alikuwa mhasibu pale akatuandia cheki nzuri ya kama jiwe na upuuzi.
Ndio ikawa mwisho wa kumuona Gardner, mara nashangaa namuona kwenye TV na kumsikia redioni,
R.I.P
Bia haiui kama pombe Kali,na ndio mana wanawake hawazipendi,wanataka mfe wamiliki majumba yenuKunywa bia wewe,viwanda vinawatemea walevi kama nyie kujiendesha
Dadeki
Hiyo mistari Kibonde na Gardner walikuwa wanapenda kuitumia wakiwa kwenye kipindi ila walikuwa wanaongea hivyo kwasababu mmojawapo wa wadhamini wa kipindi Chao ilikuwa ni kampuni ya pombe .Mkuu, hii unaithibitisha vipi kwamba mtu akifa anaenda kukutana na watu wengine? Na ni wapi huko?
Samahani lakini..
Kwamba ambao hamnywi mtaishi milele ?Endeleeni kunywa pombe kupitiliza..!
Vijana wanapukutika tu........
Apumzike kwa amani.....
Japokuwa kifo ni destiny lakini tuangalie lifestyle zetu......
Yahaya ni mbunge yule wa tanga 100%Yahaya ujumbe ulikua ni kwa captain?
Apumzike kwa amani.
Mkuu napiga kazi sina sababu ya kuomba pesa 😁Na hao hao wanywa soda wanafki life likiwa tight sana kwako huwa unaenda kwao kuwaomba wakupige tafu kifedha, ila hapa huwajui kabisa, hizi fake IDs hizi bhana [emoji848][emoji851]
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
George bantu ni kijana mdogo sana ila sura na mwili wake umeshaanza kuchoka sijui kwa nn hawajifunzi kuna siku alikesha baa mpaka asubuh akaenda kulala clouds ofisini ili kipindi cha jahazi kikianza wamuamshe na aliona ni kawaida tu.George Bantu, huyu naye kwa muonekano ni mgonjwa, wanatangaza kipindi kimoja, mwingine simkumbuki, ila alikuwa na kipindi cha mambo ya uswazi, nadhani anaitwa Mussa, wote walevi wa kutupwa.
May be Wasafi wampe angalizo Edo Kumwembe, anaingia kwenye kipindi akiwa mlevi kabisa mpaka sura yake imeshachakaa
Duh pombe inaonewa leo wanywaji kazi tunayoHiyo mistari Kibonde na Gardner walikuwa wanapenda kuitumia wakiwa kwenye kipindi ila walikuwa wanaongea hivyo kwasababu mmojawapo wa wadhamini wa kipindi Chao ilikuwa ni kampuni ya pombe .
Watu wengi mnafanya masikhara na mzaha na figo ila ile ndio engine ya mwili.Tena ni bora ukiwa unakufa ufe ata na Figo moja kuliko kuchimbia zote mbili chini, au bora umchangie mtoto mdgo mwenye maisha marefu mbeleni .
Pombe za offer tatizoGeorge bantu ni kijana mdogo sana ila sura na mwili wake umeshaanza kuchoka sijui kwa nn hawajifunzi kuna siku alikesha baa mpaka asubuh akaenda kulala clouds ofisini ili kipindi cha jahazi kikianza wamuamshe na aliona ni kawaida tu.
Wanywa soda tunawazika Kila siku bado vijana!Dah kama nilivyo tabiri wanywa pombe tutakavyo semwa kwenye huu uzi shenzii.
Matumizi ya dawa ya mda mrefu na unywaji wa pombe uliopitiliza unaua figo kama unavyokaanga chips.Si mlimsema humu kwamba gambe ndio imeua figo? Niliona mada humu akituhumiwa kwa ulevi uliokithiri wako na profesa J.
Apumzike kwa amani.
Inabidi waweke sheria kwenye bar mtu asiuzie zaidi ya kiasi fulani maana nguvu kazi inapotea.Pombe inaua tulimpotezaga ndugu yetu sababu ya kunywa Sana pombe ikaleta shida kwenye Figo Na ini
Mimi binafsi nahesabu mtu wa chini ya miaka 60 bado ni kijana aliyekomaa kifikra na kiakili......Hivi Gadner alikuwa bado kijana? Maana sie wazee tinahisi alikuwa mzee mwenzetu🤣🤣