TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Huyo mlevi na chapombe ulevi umeigharimu afya yake

Endeleeni kunywa na kujishindilia mi bia na miAlcohol kupitiliza kwa makusudi muue figo na maini

Mjifariji kwa kusema Kufa ni kufa

Mnamuona Dr Janabi ni Punguani hajui starehe anapowapa ushauri
Janabi hatokufa??
Janabi ni Mungu wako??

Kula vizuri, kula bia.
 
Kama issue ni unywaji bora unywe juice tu , ikipita miaka 80 kutoka sasa hizi I'd humo zitakua zipo tu hazina mwendeshaji iwe kwa wanywa vyoda au sisi wanywa bia.
Siyo kila mtu anakunywa juice
Hajawahi ona kuna watu wanaambiwa wasinywe juice za maxhingwa,nanasi,limbo wasile nyanya kutokana na matatizo ya ulcers na gas tumboni

Ova
 
Wewe ndio unajipa moyo mimi nabugia tu pombe apa na kesho kutwa naenda kumchangia mlokole mmoja hii figo inayochuja konyagi kila siku .
Nilipata stroke mwaka 2021 kwa sababu ya huo ulevi wa kupitiliza, nilala muhimbili siku tatu na kuanzia hapo ni mwendo wa maji tu na kina Tonic Water, ukiwa bado kijana endelea tu kubugia kilaji, nakutahadharisha tu tukiwa wote ni wanachama wa JF.
 
Back
Top Bottom