ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Acha ujingaKupitia kifo cha Gardner
Nimeamua rasmi kuacha unywaji wa pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujingaKupitia kifo cha Gardner
Nimeamua rasmi kuacha unywaji wa pombe
Acha utani huo basi Mrs Besyigehuenda ulikua hujaja mjini
Kuacha wakati Bar zimefurika muda huuKupitia kifo cha Gardner
Nimeamua rasmi kuacha unywaji wa pombe
Mrs Besyige nimekukojoza zaidi ya miaka 20Alisema hivi sina tatizo na huyo mtoto wa kike,nimemkojoza zaidi ya miaka 15
Take it easy. No hard feelingsYou are talking as if you are going to live forever. Be humble cos nobody will live forever!
"Muchacho" siyo "Mchechu"mchechu ni mwarabu Koko shabiki wa simba fc na mwalishi wa kidedea huyo unaemzungumzia ni peter msechu Kwa taarifa mda huu wako wanafanya mixing kuongeza vionjo kwenye nyimbo ya kumuaga ndugu yetu .
Carlos The Jackal kufanya mazoezi kwa wiki mara 3 inatosha sana kwa afya ya mwili?Tunawaambia hakikisha angalau Kwa wiki unafanya mazoez Kwa siku tatu .
Punguza Pombe na Sigara au acheni kabisa.
Punguzeni Uzito
Punguzeni matumizi ya Chumvi
Punguzeni unywaji wa maji ulopitiliza
Punguzeni matumizi ya Vyakula vyenye mafuta .
Kua na mazoea ya kucheki shinikizo la Damu angalau Kwa mwezi Mara mbili .
Ukigundulika una tatizo la shikinikizo la juu la Damu, Tumia dawa .
Tatizo hili halitibiw Kwa MITI SHAMBA WALA NA DAWA ZA WAGANGA.
Madhara yakupuuza Matibabu ni..
Kupata matatizo ya Ubongo, Macho, Mapafu, Moyo , Figo, Maini, mishipa ya faham , matatizo ya nguvu za Kiume n.k ......Hapa hujaondoka??.
MMtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).
Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein
Wasafi Media
View attachment 2968923
Pia soma
- Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu
Ngoja nikachukue konyagi ndogo niipige kumuuenzi captainEndeleeni kunywa pombe kupitiliza..!
Nilidhani Sophia ndio mke mkubwa na ni huyo tu.Ana wake wawili,bi mdogo ni dada wa mjini anaitwa Sofia Byanaku,na unaambiwa ni tongoza tongoza mashemeji wa dada wa mjini balaa anaogopa Figo na ini tu Kaswende haogopi yule😁
Kwani kifo chake kimetokana na kunywa sana pombe?si tunaambiwa ni maradhi ya moyo yamemuondoa?Kupitia kifo cha Gardner
Nimeamua rasmi kuacha unywaji wa pombe
Mkuu waafrica wap hao wachaga na wasomali toka karne ya kumi na 5 tunapiga ulabu , hyo nazungumzia kutokana na asili yangu kwa baba na mama.Pombe zimeletwa na majahazi wala waafrica hatukuwahi kunywa hizi pombe zao...Tulikuwa na vinywaji vyetu na watu walitoboa mpaka miaka 100.
Hizi pombe ,mtu mpaka anakuwa enthusiast wa pombe wakati mambo ya kuletwa tu na wakoloni.
Mkuu! Wanatumia ila hazina vilevi vya maabara ambao ni full chemical , wachaga wanakunywa pombe zao za asili na wanaishi mpaka miaka 110 na kuendele tena wengi.Mkuu waafrica wap hao wachaga na wasomali toka karne ya kumi na 5 tunapiga ulabu , hyo nazungumzia kutokana na asili yangu kwa baba na mama.
Kila nafsi itaonja mauti,haijalishi una fanya Nini au unatumia Nini Huwa ni swala la muda.Mungu Ndo anajua mwanzo na mwisho.Binadamu tusiwe wepesi wa kujaji wengine hii ni Dunia Kila mtu ataiacha.Kwani kifo chake kimetokana na kunywa sana pombe?si tunaambiwa ni maradhi ya moyo yamemuondoa?
Themanini mingi hivyo?Kama issue ni unywaji bora unywe juice tu , ikipita miaka 80 kutoka sasa hizi I'd humo zitakua zipo tu hazina mwendeshaji iwe kwa wanywa vyoda au sisi wanywa bia.
Well said bro,well said!Kila nafsi itaonja mauti,haijalishi una fanya Nini au unatumia Nini Huwa ni swala la muda.Mungu Ndo anajua mwanzo na mwisho.Binadamu tusiwe wepesi wa kujaji wengine hii ni Dunia Kila mtu ataiacha.